innosaint gerald
Member
- Jan 2, 2017
- 30
- 32
Ninaamini kama hayati angekuwa hai huyo simbachawene hana kazi na mwanae angewekwa ndani mwaka iwe funzo kwa watoto wa vigogo wanaochezea mamlaka kwa vivuli vya baba zao shenzzzzz kabisa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi unapewa control number na unalipa moja kwa moja.Alilipa fine? Receipt iko wapi tunaomba tuione maana nchi yetu kwa sarakasi haijambo.
Andika wosia mapema ,,ili wanao wasigombanie Mali wakati umelala yoyongoja na mimi nikajaribu nimeshaandaa 250k ya kulipa mahakamani😎
Kwani madereva wasio na ajira wameisha, anamchukua dogo anakua anamuendesha"Pamoja na faini hiyo, leseni ya Simbachawene imefungiwa kwa miezi sita."
Kijana anaongea tu watu washaua na kupigwa faini ya 30k sema unaweza kwenda kutoa ghalama za mazishi tu kwa ndugu. Haya mambo yapo sana sema tozo na ujinga umetupofusha.Should be across the board, wewe upo tayari kutoa 25M kwa Hilo kosa?
Ameongeza followers insta,facebuk na twiterMimi ningemaliza mchezo pale plae. Hii ishu imekuzwa sababu dogo ni mtoto wa waziri ila hivi visa kila siku vinatokea road, traffic wanapozwa then wote mnasonga mbele kama injil
Mnamsingizia Hayati Ninyi, Sheria ndo hiz hayTi angefanya Nini. Labda kumpandisha cheo aliyetukanwa.Ninaamini kama hayati angekuwa hai huyo simbachawene hana kazi na mwanae angewekwa ndani mwaka iwe funzo kwa watoto wa vigogo wanaochezea mamlaka kwa vivuli vya baba zao shenzzzzz kabisa...
Kijana anaongea tu watu washaua na kupigwa faini ya 30k sema unaweza kwenda kutoa ghalama za mazishi tu kwa ndugu. Haya mambo yapo sana sema tozo na ujinga umetupofusha.
Haki ya mwenye jina si sawa na haki ya kapukuUtapewa kesi ya Kutukana matusi, utapewa kesi ya kumzuia askari kufanya majukumu yake, na jinai zingine kadhaa tu hivi. Hiyo miezi anayofungiwa kuendesha gari lakin anakua uraiani, kama ndio wewe utakua uko mahabusu ukiwa ushakula virungu vya kutosha tu.
Kwani madereva wasio na ajira wameisha, anamchukua dogo anakua anamuendesha
Imekuzwa au mhusika kataka iwe hivyo, vip hajamtukana hakimu??Mimi ningemaliza mchezo pale plae. Hii ishu imekuzwa sababu dogo ni mtoto wa waziri ila hivi visa kila siku vinatokea road, traffic wanapozwa then wote mnasonga mbele kama injili
Imekuzwa au mhusika kataka iwe hivyo, vip hajamtukana hakimu??
Mpaka hapo nadhani tutakuwa tumeelewana mkuu.
Hii kwa mujibu wa sheria imeonekana nyepesi kutokana na status ya mtuhumiwa.