Mtoto wa tajiri shule ya sekondari Scolastica katika kashifa

Yaani kwa huo muda mfupi mliokutana tu hapo,unaona huyo binti anapakaziwa?...
 
Kama ni mchanga sishangai, ndivo walivo baadhi yao hao. Baba akiwa tajiri hata mbwa anajiona tajiri
 
Liz ni mzuri wa sura ila mbabe sana na anaweza kukufanyia umafia muda wowote kwajili ya pesa, hata ijumaa jana mchana alikuwa Redstone...!
 
Elizabeth ameolewa jamani??? 😛 😛 😛
 
Samahani kwa hili swali nipo nje ya mada....hivi kwanini EATV uliquit?
 
Panga vizuri umbeya ueleweke, mwanafunzi anahusika vipi na ajira za walimi wa Tanzania na Kenya! Au unataka kutuambia yeye ana hisa kwenye shule hiyo.
 
acha kumbeba wewe, kimwonekano ni mdada mzuri kaisi chake, ila kwa roho mbaya nadhani shetani anasubir..

mleta mada yupo sahihi, usikanyagie sana tukafunguka yasiofungukika
Yaani unasubiri mpaka upigwe kiki ndo useme?

Seems ipo project ya kumchafua huyo mdada humble[emoji1787]
 
Yaani unasubiri mpaka upigwe kiki ndo useme?

Seems ipo project ya kumchafua huyo mdada humble[emoji1787]
angalia tangu post za yule dogo alieuwawa hapo getini, na kuzikwa mtoni kwa ushauri wa huyo mdada, halafu kesi wakamsukumizia mzee shayo ambaye ni hawara wa mama yake..

yote hayo tuliongea...

ikija post ingine ya huyo mdada au mama yake scola, tutafunguka tu.

unamchafuaje aliechafuka tayr?
 
Funguka ndugu acha kupoteza muda.

Inawezekana ukifunguka itakuwa msaada mkubwa kwa waathirika wa matendo yake
 
Huyo na yule waziri wa maleria ni ndugu?
 
Kwani lazima wafanye kazi hapo? Ni uzuzu kulalamikia jambo ambalo una uwezo wa kulitolea maamuzi
 
Mangi huyo utamwambia nini katika masuala ya Pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…