Mtoto wa tajiri shule ya sekondari Scolastica katika kashifa

Dah, we jamaa mchochezi kweli. We Mzee Shayo humjui vizuri nyamaza kimya na usiharibu biashara za watu kwa maslahi ya mshahara wako. Shayo toka akiwa na "King Size" tu namfahamu vizuri, so achana na upashkuna chalii

W

Kwahiyo ww kumfahamu vzuri, nn nimedanganya hapo? Scola ni mke halali wa Shayo ama ni mchepuko waliozaa pamoja bonge na wadogo zake?
 
Nadhani kama 3 years ago nilikutana nae pale Himo kisha kutembelea baadhi ya sehemu za uwekezaji wa familia waliokua wamefanya, ni mdada very humble § Charming, otherwise mtoa mada ana ajenda anataka kuifikisha jamvini lakini amekosa vielelezo! Ushauri wangu kwa mtoa mada, Kindly use proper channels to address changamoto zenu, hii haisaidii!

Halafu ulikuaga mtangazaji mzuri hivi ulipotelea wapi
 
Shule ya kwao hata kama wakiweka bodi ni Yao!!
yes itabaki kuwa ya kwao, lakn maamuzi ya kijinga kama kunyanyasa wanafunzi kwa kuwafukuza, kuwapiga vile wanajisikia, kutesa mastaff yanakuwa siyo yao tena, bali ni bodi.
 
Kila upande lazima utimize majukumu yake. Wafanyakazi wafanye kazi kwa bidii na maarifa na nidhamu halafu mwajiri aboreshe maslahi ya wafanyakazi wake, asiwanyanyase. Huku akiwa makini asiingie hasara. Hiyo ndo staili ya maisha. Ndo ustaarabu wenyewe. Ndivyo inavyotakiwa.

Wafanyakazi wako wakitimiza ya upande wao halafu wew ukakwama tatizo ni wewe. Unapokuwa umeajiri watu kuna wengine hawawezi kufanya kazi bora liende. Wataweka nguvu na maarifa yote hapo. Ukiwayeyusha au usipotimiza ya upande wako unawakwaza sana.

Kuna wengine wataanza kukuharibia kazi zako makusudi, kukuhujumu, kukuibia, lakini wengine hawawezi, wanaweza ishia kulalamika tu. Ndo mara ingine unakuta wafanyakazi wa ndani wanafanyia ukatili watoto wa mabosi wao. Kuwapa sumu, kuwatesa na nk. Mara ingine sababu ni kama hizi tu. Unamuweka mtu akufanyie kazi halafu humlipi au manyanyaso ya kijinga jinga tu. Wengine ni vichaa, hufanya yao. Tuweni wastaarabu jamani. Kila mtu atimize ya upande wake na tuheshimiane bila kujali wew ni tajiri au mwajiriwa.

Yah, naelewa yapo hayo. Lakin mtizamo iwe kila mtu kutimiza majukumu yake na kuheshimiana maana kila mtu ana mhitaji mwenzie.

Kuna watu wanaogopa kuanzisha biashara sababu wanaogopa kuibiwa na wafanyakazi wao, au kuwa biashara itakufa sababu wafanyakazi wao hawatakuwa wanajali kazi ila mishahara tu mradi unawalipa kwahiyo mwisho wa siku biashara itakufa na atafilisika. Imekaa vibaya sana hii.

Una 10m mfukoni au benki unaweza anzisha biashara kijana/ vijana wapo lakini hutaki kuwapa kazi. Mwisho wa siku tuna lundo la vijana mtaani hawana kazi, ni kuzurura tu.

Na unaweza kuta ukiwapa kazi kweli utapigwa. Sababu ya hizi mentality. Tufundishane na tusisitiziane mambo mazuri. Mimi mwenyew nimewahi kupigwa. Naelewa.
 
Mwalimu kaja kufungua uzi wa kumsagia kunguni Eliza,ila sio mbaya huenda mambo yakawa sawa
 
Tatizo la walimu ni kada ya watu wenye majungu sana hapo msikute mmeona kanunua gar mpya au kafanya maendeleo flan mmeanza kusema hizo ni nguvu zenu na mnahisi hamtendewi haki kwahyo mmeanza majungu na propaganda za kupika
 
Andikeni vizuri matatizo yenu mleta mada umeandika kimbeya mbeya
Kwani wamefunga ndoa na mmiliki, wakiona mambo hayaendi vizuri waachie ngazi watafuta shughuli nyingine za kufanya.
 
Watanzania sijui tulilogwa na nani, kubabaikia wageni, yaani mtu akiwa hajui kiswahili tu, baasi wanamuona MUNGU mtu, tuache huu ujinga jamani!
 
Wakati wananchi wa Kilimanjaro wakiwa bado na kumbukumbu za tukio baya la kuuawa kikatili mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Scolastica miaka michache iliyopita,mapya yameibuka katika shule hiyo.

Taarifa mpya kutoka kwa watumishi wa shule hiyo zinatonya kuwa,mtoto wa tajiri wa shule hiyo aitwaye Elizabeth Shayo anadaiwa kuendesha vitendo vya kikatili kwa watumishi wa shule hiyo.

Eliza amekuwa akiwadhalilisha watumishi hao pamoja na kuwatolea lugha chafu ,kuwafokea ovyo hasa wanapokuwa wakidai maslahi yao na baadhi wamejikuta wakifukuzwa kazi bila tararibu za kazi kufuatwa..

Baadhi ya watumishi walioomba hifadhi ya majina yao wanadai kuwa vitendo hivyo vimekuwa sugu huku kukiwa hakuna hatua za kumchukulia kwa vile ni mmoja wa wakurugenzi wa shule.

Watumishi hao kutoka Idara ya ualimu,upishi,usafi,ulinzi na watumishi wasio waalimu wanadai kumekuwepo na matabaka kati ya walimu kutoka nchini Kenya na wazawa ambako wakenya wamekuwa wakipewa upendeleo katika maeneo mengi.

Unataka kujua mengi kuhusu vitendo vinavyofanywa na mtoto wa tajiri huyo?,kaa mkao wa kula mengi zaidi yanakuja
Huu mwandiko balaa... Kichwa cha habari na habari hailviendani
 
Sii waache Kazi, Mbona rahisi sana
 
Back
Top Bottom