Mtoto wa tajiri shule ya sekondari Scolastica katika kashifa

Nasema hivii, inabidi aongoze roho mbaya ili mjiongeze mkajiajiri.
 
Mara ya mwisho kuacha kumlalamikia bosi wangu wa zamani ni pale alipo niita na kuniambia kuwa yeye ananilipa ili niweze kutatua changamoto zangu ndogo ndogo ila kamwe hawez kunitoa kimaisha kwani ili nitoke inabd nitumie akili zangu mwenyew

Nilimshukuru sanaa mkurugenzi yule

Sasa Niko naifanyia kazi serikali nasema kamwe siwez kuilalamikia serikali najua haiwez kunitoa kimaisha bali inabd nitumie akil yangu nitoke kimaisha kwan yenyewe inanilipa mshahara tu wa kula ,kununua nguo basii....ila kujenga ,kumiliki biashara ,kumiliki migari ni inabd iwe juhudi zangu
Hii comment yako umenifanya niijengee mnara
 
sijaleta hii mada, ila mletq mada ana ukweli maana hili nalijua vyma.

ukiacha wafanyakazi, shule haina bodi, hivyo inaendeshwa kisela sana na, huyo binti ndio alfa na omega...
Shule ya kwao hata kama wakiweka bodi ni Yao!!
 
Nadhani kama 3 years ago nilikutana nae pale Himo kisha kutembelea baadhi ya sehemu za uwekezaji wa familia waliokua wamefanya, ni mdada very humble § Charming, otherwise mtoa mada ana ajenda anataka kuifikisha jamvini lakini amekosa vielelezo! Ushauri wangu kwa mtoa mada, Kindly use proper channels to address changamoto zenu, hii haisaidii!
Ni wivu tu unamsumbua huyu jamaa.
 
Mara ya mwisho kuacha kumlalamikia bosi wangu wa zamani ni pale alipo niita na kuniambia kuwa yeye ananilipa ili niweze kutatua changamoto zangu ndogo ndogo ila kamwe hawez kunitoa kimaisha kwani ili nitoke inabd nitumie akili zangu mwenyew

Nilimshukuru sanaa mkurugenzi yule

Sasa Niko naifanyia kazi serikali nasema kamwe siwez kuilalamikia serikali najua haiwez kunitoa kimaisha bali inabd nitumie akil yangu nitoke kimaisha kwan yenyewe inanilipa mshahara tu wa kula ,kununua nguo basii....ila kujenga ,kumiliki biashara ,kumiliki migari ni inabd iwe juhudi zangu
Kila upande lazima utimize majukumu yake. Wafanyakazi wafanye kazi kwa bidii na maarifa na nidhamu halafu mwajiri aboreshe maslahi ya wafanyakazi wake, asiwanyanyase. Huku akiwa makini asiingie hasara. Hiyo ndo staili ya maisha. Ndo ustaarabu wenyewe. Ndivyo inavyotakiwa.

Wafanyakazi wako wakitimiza ya upande wao halafu wew ukakwama tatizo ni wewe. Unapokuwa umeajiri watu kuna wengine hawawezi kufanya kazi bora liende. Wataweka nguvu na maarifa yote hapo. Ukiwayeyusha au usipotimiza ya upande wako unawakwaza sana.

Kuna wengine wataanza kukuharibia kazi zako makusudi, kukuhujumu, kukuibia, lakini wengine hawawezi, wanaweza ishia kulalamika tu. Ndo mara ingine unakuta wafanyakazi wa ndani wanafanyia ukatili watoto wa mabosi wao. Kuwapa sumu, kuwatesa na nk. Mara ingine sababu ni kama hizi tu. Unamuweka mtu akufanyie kazi halafu humlipi au manyanyaso ya kijinga jinga tu. Wengine ni vichaa, hufanya yao. Tuweni wastaarabu jamani. Kila mtu atimize ya upande wake na tuheshimiane bila kujali wew ni tajiri au mwajiriwa.
 
Aisee hiyo kazi sio yako bro /c* fanya kwa bidii lakin ,ili utoke mind you're own business .hii ni principle mzee haibadiliki ukilalamika sana utaishia kufukuzwa kazi ,fumba mdomo ,fungua mawazo kwamba one day na Mimi niwe na shule yangu .nimefanya kazi private sector 4 good years ,serikalini 2 years now kwa nilichojifunza sector binafsi na yule boss wangu alivyonikalisha na kunipa somo nasema siwez lalamika hata Siku moja

Unaweza kuwa ww unajiona ni mtata lkn mie nilikuwa mtata zaidi yako yaan nilikuwa sio MTU wa kukaa kimya hasa kwenye kudai maslai but the C.E.O aliponiita na kunipa somoo nasema siwez lalamika .

Fanya kazi na mind you're own business

Hivi ushawah kuwaza siku ukifukuzwa kazi ,serikalin au private utaishije ? Watoto wako na mkeo watapata huduma kwa kiwango kile kile ? Ukilijua hili utafahamu hiyo kazi sio yako mind you're own business.
 
Aisee hiyo kazi sio yako bro /c* fanya kwa bidii lakin ,ili utoke mind you're own business .hii ni principle mzee haibadiliki ukilalamika sana utaishia kufukuzwa kazi ,fumba mdomo ,fungua mawazo kwamba one day na Mimi niwe na shule yangu .nimefanya kazi private sector 4 good years ,serikalini 2 years now kwa nilichojifunza sector binafsi na yule boss wangu alivyonikalisha na kunipa somo nasema siwez lalamika hata Siku moja

Unaweza kuwa ww unajiona ni mtata lkn mie nilikuwa mtata zaidi yako yaan nilikuwa sio MTU wa kukaa kimya hasa kwenye kudai maslai but the C.E.O aliponiita na kunipa somoo nasema siwez lalamika .

Fanya kazi na mind you're own business

Hivi ushawah kuwaza siku ukifukuzwa kazi ,serikalin au private utaishije ? Watoto wako na mkeo watapata huduma kwa kiwango kile kile ? Ukilijua hili utafahamu hiyo kazi sio yako mind you're ottuheshimiane na na kila mtu atimkze majukumu yake
Yah, ni kweli unazungumzia vitu vya muhimu. Lakini haitokaa iwezekane kila mtu kuwa muajiri. Na unaweza kuajiri huku nawew umeajiriwa.

Msingi wa nilichobandika hapo juu ni kuwa tuheshimiane na kila upande utimize majukumu yake. Kama vipi mwajiri asitafute wafanyakazi, kazi zoote afanye yeye na ukoo wake. Hiyo haiwezekani, tunajua. Unaona sasa? Ina maana tunategemeana. Nenda dunia yote iliyostaarabika, Ulaya, marekani, israel, japan etc ninachosema ndio ukweli. Unafikiri wazungu wote wamejiajiri? Wajapan je? Waisrael je? Wachina je? Hamna, lazima waajiri na waajiriwa watakuwepo.

Nimewahi kusikia story kadhaa kuwa wabongo si waaminifu wakiajiriwa kazi kuiba tu, uzembe na nk. Kumuajiri mbongo ni matatizo. Anazembea, anaiba na nk. asijue kuwa akiilinda ile kazi kwa kujibidiisha na kutoiba itamletea manufaa yeye, mwajiri wake na wengineo watakaofuata. Nafikiri mtizamo wako ni aina ya mitizamo inayoua vitu vingi vya umma vinavyoanzishwa nchi hii. Nafikiri iwe hivi: mwambie akulipe vizuri na akuheshimu halafu wewe fanya kazi kwa juhudi, bidii, maarifa na uaminifu
 
HV ile kesi ilikwishaje kwishaje ya yule mtot alieuwawa shuleni ..kesi ilifika wapi
 
" the world is not fair at all" kwa jinsi maada yako ilivyo tambua tu hao jamaa wanakutumia kwa maslai yao binafsi sio yako .yaan upo hapo wao wafaidike tu sio ww upate ahueni ya maisha

Binadamu tulivyo sio wepesi wa kutambua juhudi za MTU ,ndo maana wanaoiba wanaona bora hivyo tu ili watengeneze maisha yao sababu hakuna anayewajar kwa juhudi zao .

Popote pale unaweza kuwa unajitoa kwa uaminifu kabisa na kwa Masaa yako yote lakin tambua no body cares

Sijasema usifanye kazi lakin tambua hata ukilala ofisini hakuna atayekuone ni Mara chache sana juhudi zetu kuonekana sababu binadamu tuko na ubinafsi mkubwa mnoo..kiufupi Fanya majukumu yako kiufasaha lakin tambua hizo disappointment ndo nature ya binadamu sasa .

Kazini unaweza kuwa unajituma ,unaongea na watu vizur ,unaupeo mkubwa kuliko wafanyakazi wenzako ,kazi ngumu ngumu unapewa ww unafanya ,ilaa likija dilii ambalo pengine kuna maslai boss anachangua MTU ambae anamtaka yeye na unakuta kila Siku ni yeye anakwenda na sio kwamba ana uwezo ,basi tu figisu tu .

Ukishakutwa na haya sasa pale ndo mwanzo wa ninavyosema mind you're own business maana kazi ngumu unapewa ww ila zenye perdiem wanakwenda wao .
 
Dah, we jamaa mchochezi kweli. We Mzee Shayo humjui vizuri nyamaza kimya na usiharibu biashara za watu kwa maslahi ya mshahara wako. Shayo toka akiwa na "King Size" tu namfahamu vizuri, so achana na upashkuna chalii
angalia tangu post za yule dogo alieuwawa hapo getini, na kuzikwa mtoni kwa ushauri wa huyo mdada, halafu kesi wakamsukumizia mzee shayo ambaye ni hawara wa mama yake..

yote hayo tuliongea...

ikija post ingine ya huyo mdada au mama yake scola, tutafunguka tu.

unamchafuaje aliechafuka tayr?
W
 
Back
Top Bottom