Dah, we jamaa mchochezi kweli. We Mzee Shayo humjui vizuri nyamaza kimya na usiharibu biashara za watu kwa maslahi ya mshahara wako. Shayo toka akiwa na "King Size" tu namfahamu vizuri, so achana na upashkuna chalii
W
Nadhani kama 3 years ago nilikutana nae pale Himo kisha kutembelea baadhi ya sehemu za uwekezaji wa familia waliokua wamefanya, ni mdada very humble Β§ Charming, otherwise mtoa mada ana ajenda anataka kuifikisha jamvini lakini amekosa vielelezo! Ushauri wangu kwa mtoa mada, Kindly use proper channels to address changamoto zenu, hii haisaidii!
hapana, yupo sahihi 100 kwan100
yes itabaki kuwa ya kwao, lakn maamuzi ya kijinga kama kunyanyasa wanafunzi kwa kuwafukuza, kuwapiga vile wanajisikia, kutesa mastaff yanakuwa siyo yao tena, bali ni bodi.Shule ya kwao hata kama wakiweka bodi ni Yao!!
Kila upande lazima utimize majukumu yake. Wafanyakazi wafanye kazi kwa bidii na maarifa na nidhamu halafu mwajiri aboreshe maslahi ya wafanyakazi wake, asiwanyanyase. Huku akiwa makini asiingie hasara. Hiyo ndo staili ya maisha. Ndo ustaarabu wenyewe. Ndivyo inavyotakiwa.
Wafanyakazi wako wakitimiza ya upande wao halafu wew ukakwama tatizo ni wewe. Unapokuwa umeajiri watu kuna wengine hawawezi kufanya kazi bora liende. Wataweka nguvu na maarifa yote hapo. Ukiwayeyusha au usipotimiza ya upande wako unawakwaza sana.
Kuna wengine wataanza kukuharibia kazi zako makusudi, kukuhujumu, kukuibia, lakini wengine hawawezi, wanaweza ishia kulalamika tu. Ndo mara ingine unakuta wafanyakazi wa ndani wanafanyia ukatili watoto wa mabosi wao. Kuwapa sumu, kuwatesa na nk. Mara ingine sababu ni kama hizi tu. Unamuweka mtu akufanyie kazi halafu humlipi au manyanyaso ya kijinga jinga tu. Wengine ni vichaa, hufanya yao. Tuweni wastaarabu jamani. Kila mtu atimize ya upande wake na tuheshimiane bila kujali wew ni tajiri au mwajiriwa.
Yah, naelewa yapo hayo. Lakin mtizamo iwe kila mtu kutimiza majukumu yake na kuheshimiana maana kila mtu ana mhitaji mwenzie.Kila upande lazima utimize majukumu yake. Wafanyakazi wafanye kazi kwa bidii na maarifa na nidhamu halafu mwajiri aboreshe maslahi ya wafanyakazi wake, asiwanyanyase. Huku akiwa makini asiingie hasara. Hiyo ndo staili ya maisha. Ndo ustaarabu wenyewe. Ndivyo inavyotakiwa.
Wafanyakazi wako wakitimiza ya upande wao halafu wew ukakwama tatizo ni wewe. Unapokuwa umeajiri watu kuna wengine hawawezi kufanya kazi bora liende. Wataweka nguvu na maarifa yote hapo. Ukiwayeyusha au usipotimiza ya upande wako unawakwaza sana.
Kuna wengine wataanza kukuharibia kazi zako makusudi, kukuhujumu, kukuibia, lakini wengine hawawezi, wanaweza ishia kulalamika tu. Ndo mara ingine unakuta wafanyakazi wa ndani wanafanyia ukatili watoto wa mabosi wao. Kuwapa sumu, kuwatesa na nk. Mara ingine sababu ni kama hizi tu. Unamuweka mtu akufanyie kazi halafu humlipi au manyanyaso ya kijinga jinga tu. Wengine ni vichaa, hufanya yao. Tuweni wastaarabu jamani. Kila mtu atimize ya upande wake na tuheshimiane bila kujali wew ni tajiri au mwajiriwa.
Kwani wamefunga ndoa na mmiliki, wakiona mambo hayaendi vizuri waachie ngazi watafuta shughuli nyingine za kufanya.Andikeni vizuri matatizo yenu mleta mada umeandika kimbeya mbeya
Walimu mmekutana!hapana, yupo sahihi 100 kwan100
Mzee nawe umepiga hapoElizabeth demu wangu wa utotoni huyo..kaanza lini kuwa na roho ya kikatili hivyo?
Huu mwandiko balaa... Kichwa cha habari na habari hailviendaniWakati wananchi wa Kilimanjaro wakiwa bado na kumbukumbu za tukio baya la kuuawa kikatili mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Scolastica miaka michache iliyopita,mapya yameibuka katika shule hiyo.
Taarifa mpya kutoka kwa watumishi wa shule hiyo zinatonya kuwa,mtoto wa tajiri wa shule hiyo aitwaye Elizabeth Shayo anadaiwa kuendesha vitendo vya kikatili kwa watumishi wa shule hiyo.
Eliza amekuwa akiwadhalilisha watumishi hao pamoja na kuwatolea lugha chafu ,kuwafokea ovyo hasa wanapokuwa wakidai maslahi yao na baadhi wamejikuta wakifukuzwa kazi bila tararibu za kazi kufuatwa..
Baadhi ya watumishi walioomba hifadhi ya majina yao wanadai kuwa vitendo hivyo vimekuwa sugu huku kukiwa hakuna hatua za kumchukulia kwa vile ni mmoja wa wakurugenzi wa shule.
Watumishi hao kutoka Idara ya ualimu,upishi,usafi,ulinzi na watumishi wasio waalimu wanadai kumekuwepo na matabaka kati ya walimu kutoka nchini Kenya na wazawa ambako wakenya wamekuwa wakipewa upendeleo katika maeneo mengi.
Unataka kujua mengi kuhusu vitendo vinavyofanywa na mtoto wa tajiri huyo?,kaa mkao wa kula mengi zaidi yanakuja
Mtumie V8 Sahara utampata.Elizabeth ameolewa jamani??? π π π
Wakati wananchi wa Kilimanjaro wakiwa bado na kumbukumbu za tukio baya la kuuawa kikatili mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Scolastica miaka michache iliyopita,mapya yameibuka katika shule hiyo.
Taarifa mpya kutoka kwa watumishi wa shule hiyo zinatonya kuwa,mtoto wa tajiri wa shule hiyo aitwaye Elizabeth Shayo anadaiwa kuendesha vitendo vya kikatili kwa watumishi wa shule hiyo.
Eliza amekuwa akiwadhalilisha watumishi hao pamoja na kuwatolea lugha chafu ,kuwafokea ovyo hasa wanapokuwa wakidai maslahi yao na baadhi wamejikuta wakifukuzwa kazi bila tararibu za kazi kufuatwa..
Baadhi ya watumishi walioomba hifadhi ya majina yao wanadai kuwa vitendo hivyo vimekuwa sugu huku kukiwa hakuna hatua za kumchukulia kwa vile ni mmoja wa wakurugenzi wa shule.
Watumishi hao kutoka Idara ya ualimu,upishi,usafi,ulinzi na watumishi wasio waalimu wanadai kumekuwepo na matabaka kati ya walimu kutoka nchini Kenya na wazawa ambako wakenya wamekuwa wakipewa upendeleo katika maeneo mengi.
Unataka kujua mengi kuhusu vitendo vinavyofanywa na mtoto wa tajiri huyo?,kaa mkao wa kula mengi zaidi yanakuja
Elizabeth demu wangu wa utotoni huyo..kaanza lini kuwa na roho ya kikatili hivyo?
hahahahahaWalimu mmekutana!
tutafute hata shughuli za kuuwa wanafunzi na kufukia mtoni?Kwani wamefunga ndoa na mmiliki, wakiona mambo hayaendi vizuri waachie ngazi watafuta shughuli nyingine za kufanya.
HimoSiyo kweli. Kijiji gani ?? Mboni ? Mahande ??
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...