Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo akitumia wakili atawatoa nishai mapema sana polisi. Na pia hao askari lazima watajishughulikia wao kwa wao kwa sababu Serikali ni hiyo hiyo hakuna anayeweza kukubali kudhalilika.Hata wakimpeleka mahakamani silka ya mtu haibadiliki
Na haibadili ukweli kwamba baadhi ya viongozi na familia zao wanadharau raia.
Ipo kwenye akili zao kuwa wao ni watu aina tofauti na wenzao.
Baadhi ya makosa yake:-Traffic case. Ataenda mahakamani atalipa fine 30,000/-
Ndiyo Ukweli Wenyewemtoto wa mlamba asali huyo, hakuna kesi hapo
AiseeBaadhi ya makosa yake:-
- Kuendesha gari akiwa amelewa
- Uzembe
- Kusababisha ajali
- Uharibifu wa mali (gari)
- Kuzuia Askari (w)asifanye kazi yake (zao)
- Kutoa lugha ya matusi na kuudhi kwa Askari na aliyegongewa gari yake
- Kutumia vibaya jina la kiongozi
Na mengine kama watakavyoona
anapata dhamana kiulaini mahakamaniBaadhi ya makosa yake:-
- Kuendesha gari akiwa amelewa
- Uzembe
- Kusababisha ajali
- Uharibifu wa mali (gari)
- Kuzuia Askari (w)asifanye kazi yake (zao)
- Kutoa lugha ya matusi na kuudhi kwa Askari na aliyegongewa gari yake
- Kutumia vibaya jina la kiongozi
Na mengine kama watakavyoona
awe jambaz au muuaji , ila taratibu zinajulikana kuwa atapelekwa kituoni then hatua nyingine zitachukuliwaNimeiona Hiyo clip ya mtu anaye pigwa na polisi! Jamani hatujui kosa alilofanya yule jamaa kwa hiyo tuache ushabiki wa kijinga!
Yule jamaa kama ni jambazi au muuaji je?
Foolish [emoji35]
Kumbe unamachukizo moyoni mwako kwa kukosa teuzi😂😂Wewe ndo foolish ever seen!!
Unafahamu PGO na sheria za nchi zinasemaje? Waulize wametumia sheria gani kumuadhibu mtuhumiwa????
Hata kama angekuwa amemuua baba yako sheria za nchi haziruhusu polisi au mtu yoyote kumuadhibu mhalifu. Take time uache uzwazwa na upopoma!!
Kama unasubri teuzi sisi wenyewe tushasubiri saaaa hadi tumechoka.. Endelea kusubiri kulamba asali.
huu ni ukwel ila sabab mazuzu ni wengi kuliko wanaoelewatabia kama hizi zilipotea sasa naona majuha wameanza kuchipuka.
Nashauri adhabu kali ichukiliwe dhidi yake kwa kutumia cheo cha baba yake vibaya ili iwe fundisho kwa majuha/malimbukine wengine kuwa hakuna aliye juu ya sheria, sheria ni msumeno hivyo tunataka kuona unamkata huyu mtoto wa waziri kama unavyo kata watoto wa wanyonge.
kwa nchi za wenzetu wanao fahama maana ya uwajibikaji, ilipaswa Baba awajibike ajiuzulu.
Kwo sheria inasema muuaji apigwe na polisi??Nimeiona Hiyo clip ya mtu anaye pigwa na polisi! Jamani hatujui kosa alilofanya yule jamaa kwa hiyo tuache ushabiki wa kijinga!
Yule jamaa kama ni jambazi au muuaji je?
Foolish [emoji35]
tupo wote humu,kati ya hayo wakimsomea hata matatu navua na kuhara waziwazi!Baadhi ya makosa yake:-
- Kuendesha gari akiwa amelewa
- Uzembe
- Kusababisha ajali
- Uharibifu wa mali (gari)
- Kuzuia Askari (w)asifanye kazi yake (zao)
- Kutoa lugha ya matusi na kuudhi kwa Askari na aliyegongewa gari yake
- Kutumia vibaya jina la kiongozi
Na mengine kama watakavyoona
Hata kama ni anahisiwa ni jambazi polisi kazi yao ni kukamata na sio kuhukumu. Kumpiga maana yake wameshahukumu ambayo ni kazi ya mahakama.Nimeiona Hiyo clip ya mtu anaye pigwa na polisi! Jamani hatujui kosa alilofanya yule jamaa kwa hiyo tuache ushabiki wa kijinga!
Yule jamaa kama ni jambazi au muuaji je?
Foolish [emoji35]
Mkuu ushapata VISA ya kuishi nchi ya makimbilio?Ulitaka asemeje??? Ulitaka awaambie waandishi wa habari kwamba hakuna matata huyu ataendelea kula bata mtaani?
Angalia kuna clip inasambaa mtandaoni polisi hao hao wanampa kichapo mwananchi licha ya mtuhumiwa kuomba asiadhibiwe yeye ni mgonjwa wa pumu ma bwa yale yanaendelea kumpa kipigo Mtanzania mwenzetu wakati polisi wale wale walinywea kwa huyo mliye danganywa atapelekwa lupango.
Inaumiza na kukasirisha sana kuona jinsi gani jeshi letu la polisi linavunja sheria. Unampiga mtu miguuni kwa rungu huku umemfunga pingu dah enewei sawa. Tuwatakie kazi njema ya kumpeleka mahakamani mtoto wa walamba asali.
Ulitaka asemeje??? Ulitaka awaambie waandishi wa habari kwamba hakuna matata huyu ataendelea kula bata mtaani?
Angalia kuna clip inasambaa mtandaoni polisi hao hao wanampa kichapo mwananchi licha ya mtuhumiwa kuomba asiadhibiwe yeye ni mgonjwa wa pumu ma bwa yale yanaendelea kumpa kipigo Mtanzania mwenzetu wakati polisi wale wale walinywea kwa huyo mliye danganywa atapelekwa lupango.
Inaumiza na kukasirisha sana kuona jinsi gani jeshi letu la polisi linavunja sheria. Unampiga mtu miguuni kwa rungu huku umemfunga pingu dah enewei sawa. Tuwatakie kazi njema ya kumpeleka mahakamani mtoto wa walamba asali.
wamejitahidi yamefika matatu lakini hayamo kwenye orodha hii na siyo makali!Baadhi ya makosa yake:-
- Kuendesha gari akiwa amelewa
- Uzembe
- Kusababisha ajali
- Uharibifu wa mali (gari)
- Kuzuia Askari (w)asifanye kazi yake (zao)
- Kutoa lugha ya matusi na kuudhi kwa Askari na aliyegongewa gari yake
- Kutumia vibaya jina la kiongozi
Na mengine kama watakavyoona
kwani sheria inaruhusu kutoa hukumu kwa mtuhumiwa, kabla ya upepelelezi kutamatika?Nimeiona Hiyo clip ya mtu anaye pigwa na polisi! Jamani hatujui kosa alilofanya yule jamaa kwa hiyo tuache ushabiki wa kijinga!
Yule jamaa kama ni jambazi au muuaji je?
Foolish [emoji35]