Mtoto wa Waziri Simbachawene kuburuzwa mahakamani

Traffic case. Ataenda mahakamani atalipa fine 30,000/-
 
Hata wakimpeleka mahakamani silka ya mtu haibadiliki

Na haibadili ukweli kwamba baadhi ya viongozi na familia zao wanadharau raia.

Ipo kwenye akili zao kuwa wao ni watu aina tofauti na wenzao.
Dogo akitumia wakili atawatoa nishai mapema sana polisi. Na pia hao askari lazima watajishughulikia wao kwa wao kwa sababu Serikali ni hiyo hiyo hakuna anayeweza kukubali kudhalilika.
 
Traffic case. Ataenda mahakamani atalipa fine 30,000/-
Baadhi ya makosa yake:-

  • Kuendesha gari akiwa amelewa
  • Uzembe
  • Kusababisha ajali
  • Uharibifu wa mali (gari)
  • Kuzuia Askari (w)asifanye kazi yake (zao)
  • Kutoa lugha ya matusi na kuudhi kwa Askari na aliyegongewa gari yake
  • Kutumia vibaya jina la kiongozi

Na mengine kama watakavyoona
 
Aisee
 
anapata dhamana kiulaini mahakamani

Ova
 
Nimeiona Hiyo clip ya mtu anaye pigwa na polisi! Jamani hatujui kosa alilofanya yule jamaa kwa hiyo tuache ushabiki wa kijinga!
Yule jamaa kama ni jambazi au muuaji je?
Foolish [emoji35]
awe jambaz au muuaji , ila taratibu zinajulikana kuwa atapelekwa kituoni then hatua nyingine zitachukuliwa
 
Kumbe unamachukizo moyoni mwako kwa kukosa teuzi😂😂
 
huu ni ukwel ila sabab mazuzu ni wengi kuliko wanaoelewa
 
Mtoto mtoto tu, hadharani Simbachawene anaonyesha anakasirishwa ana alichokifanya mwanaye,ila, underground anapambana mwanaye asidike,🤣🤣
 
Nimeiona Hiyo clip ya mtu anaye pigwa na polisi! Jamani hatujui kosa alilofanya yule jamaa kwa hiyo tuache ushabiki wa kijinga!
Yule jamaa kama ni jambazi au muuaji je?
Foolish [emoji35]
Kwo sheria inasema muuaji apigwe na polisi??
 
Tu
tupo wote humu,kati ya hayo wakimsomea hata matatu navua na kuhara waziwazi!
 
Baba mtoto kwa sasa hana cha kufanya.akiwa upande wa mtoto anaweza kijichanganya yakamkuta kisa ni waziri.

Kama baba anaumia ila hakuna namna.
 
Nimeiona Hiyo clip ya mtu anaye pigwa na polisi! Jamani hatujui kosa alilofanya yule jamaa kwa hiyo tuache ushabiki wa kijinga!
Yule jamaa kama ni jambazi au muuaji je?
Foolish [emoji35]
Hata kama ni anahisiwa ni jambazi polisi kazi yao ni kukamata na sio kuhukumu. Kumpiga maana yake wameshahukumu ambayo ni kazi ya mahakama.
 
Mkuu ushapata VISA ya kuishi nchi ya makimbilio?
 
chagua upande mkuu.

kuwa mtoto wa simbachawene au kujiweka mbali na uhalifu.
ukishaingia mikononi mwa polisi,huna bahati zaidi ya kuishia kuwa adui yao tu.
chunga sana mdomo mchafu.
 
wamejitahidi yamefika matatu lakini hayamo kwenye orodha hii na siyo makali!
 
Nimeiona Hiyo clip ya mtu anaye pigwa na polisi! Jamani hatujui kosa alilofanya yule jamaa kwa hiyo tuache ushabiki wa kijinga!
Yule jamaa kama ni jambazi au muuaji je?
Foolish [emoji35]
kwani sheria inaruhusu kutoa hukumu kwa mtuhumiwa, kabla ya upepelelezi kutamatika?
 
Hii inaskitisha baadhi ya kesi zimekaa upelelezini miaka mingi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…