Mtoto wa Yoweri Museveni asiruhusiwe kukanyaga Tanzania, Siyo mzima

Angekua yule bibi wine wenu anakuja na Ile kofia, ungeleta maada za mapambio dhidi yake
 
Kama alshababi waliteka westgate mall pale kwa masiku kadhaa na askari wa kenya wakaishia kutoka na mifuko ya groceries supermarket sasa kwanini Jeshi timamu lisifanye yao.

Mimi naona kazungumza kile ambacho anaamini anaweza kukifanya baada ya tathmini yake.
 
Mwenyezi Mungu huwa ana Nguvu za ajabu sana!
Ona Nguvu alizotumia Rais Yoweri Kaguta Museveni kuandaa " dude la ajabu" hadi kulipa Ujenerali wa Jeshi lakini akili " kisoda"!
Akili na uchakaramu wa Muhoozi Kainerugaba ni uthibitisho pengine Mwenyezi Mungu amesikiliza kilio cha Waganda!
Ni heri Bob Wine awe Rais wa Uganda kuliko huyo Teja!
 
Sikutegemea huyu jamaa ni garasha kiasi hiki. Alipokua mkuu wa updf nina shaka alicheza mchezo mbaya sana na M23. Kama vile kulipangwa njama kati yake na kagame baada ya muhozi kwenda kigali halafu wakamzuga tshisekedi updf waende kusaidia maana hali ya uasi congo mbaya sana. Kisha Muhozi akawabeba M23 kwenye msafara wa updf kuingia nao congo. Si unajua ile story ya trojan horse..
Ni speculation tu jamani. Yaani sayansi ya kuunganisha dots.😂😆🤔
Hebu fikiri eti M23 saa hizi wameteka mji wa mpakani Bunagana wao ndio wanakula ushuru traffic kati ya congo na uganda hadi sasa zaidi ya miezi mitano. Jeshi la congo fardc linaangalia tu.
Watu wanajua kupiga dili kubwa hadi mungu anatoa machozi😂
 
We mpumbavu sana
 
Huyo Hana madhara Kwa Nchi yetu!!!!

Kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha.😃😃
 
Sasa wanachadema tuhakikisheni huyu mtoto wa Museven hakanyagi TZ. Tuwaambie makamanda wote hii ndo hoja yetu kwa sasa mpaka tukipata nyingine....
 
Sawa. Tutahakikisha hatumpokei badala yake tutampokea Wakili Amsterdam kwakuwa amekuwa mwenyeji mwema wa Mtanzania mwenzetu Lissu huko Ubeleji.
 
Kila kitu anachokiandika anamtaja "baba yangu" na sio rais ukiona hapo ujue shida kubwa ipo ila CCM ndio wanapend watu wanaofanya nepotism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…