Mtoto wa Yoweri Museveni asiruhusiwe kukanyaga Tanzania, Siyo mzima

Waache CCM wajikombe kwa huyo Muhoozi maana wanamuogopa siku akirithi madaraka atawasumbua kama Idi Amini alivyomsumbua Nyerere. Wanamjua ni mtu fyatu.
 
Mimi ninakusihi uwape pole zao nyingi waGanda.

Wao na sisi tofauti zetu ni kidogo sana.
M7 anaitumia NRM, (sijui ndiyo hiyo?) nina maana ya chama kuifanya Uganda kuwa mali yake, na ni wazi anatamani sana kijana angalau atulie kidogo ili itakapolazimu yeye kuondoka madarakani amwachie huyo kijana wake. Hili lipo wazi na wala halijifichi.
Waganda kama tulivyo sisi Tanzania, wamekuwa ni mateka wa mtu mmoja na chama chake.

Kwa hiyo wao na sisi kwa kweli hatuchekani.
 
Wewe acha alete pesa
 
On a serious note najisikia vibaya Kumjadili kwani mwaka 2014 alifanya Ziara Binafsi nchini Tanzania ambapo Mimi GENTAMYCINE na Mtu Mmoja Muhimu ambaye alikuwa Mmoja wa Confidants wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ( kutokana na Ukaribu wetu wa Kiurafiki wa Kifamilia ) tulimpokea huyu Muhoozi Kainerugaba ( Mtoto wa Rais Museveni ) na Kumtembeza maeneo yote Muhimu aliyotaka kama pale Upanga alipozaliwa, Chuo Kikuu alikosoma Baba yake na tukampeleka hadi katika Chumba alichokuwa akilala Baba yake, tukampeleka Nyumba ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ile ya Magomeni ambayo sasa ni Makumbusho kisha tukamualika kwa Chakula Nyumbani ambapo tulizungumza mengi na kumrejesha inayoitwa Serena Hotel sasa Ili Kujiandaa Kurejea Kwao nchini Uganda.

Natamani kusema mengi ila itoshe tu kusema kuwa Muhoozi Kainerugaba ( Mtoto wa Rais Museveni ) ametuangusha Marafiki zake wa karibu na sishangai kusikia Watu wakisema akapimwe Akili kwani hata huyo Nyerere's Confidant niliyekuwa nae Siku Tatu tu zimepita Kaniuliza je, nadhani Muhoozi yuko sawa Kichwani nikamjibu sidhani na akasema kwa atajitahidi Yeye na Nyerere's Confidant mwingine waende Uganda Kuonana na Baba yake ili amweke sawa Mwanae kwani anamuharibia Baba yake na itaharibu hata hii Jumuiya yetu.
 
Muhoozi alizaliwa Dar es salaam mwaka 1974. Ingekuwa Tanzania kuna dual citizenship angefuzu kuwa Mtanzania kwa kuzaliwa.
Amezaliwa kayanga, karagwe huko
Wakati mzee wake yuko msituni anapambana na mavita

Ova
 

haruhusiwi kivipi kukanyaga tanzania wakati yeye kazaliwa tanzania na anaiheshimu tanzania wewe ni nani kumzui mtu kuja tanzania. wewe mbona unaoneka mtu wa burundi lakini unaishi tanzania
 
haruhusiwi kivipi kukanyaga tanzania wakati yeye kazaliwa tanzania na anaiheshimu tanzania wewe ni nani kumzui mtu kuja tanzania. wewe mbona unaoneka mtu wa burundi lakini unaishi tanzania
sababu zimewekwa wazi
 
Gen. Muhoozi ni mtanzania mwenzetu akiwa amezaliwa Dslam. Unapata wapi haki we mtu wa Ipinda( Malawi ya zaman) kuhamasisha mtized halisi asiruhusiwe kurudi kwenye nchi yake ya kuzaliwa?
 
Nawakumbusha tu Muhoozi alizaliwa Moshi kabla Baba yake hajahamia Dar , hiyo ni taarifa ndogo sana muijue msiofahamu historia,
Mkuu kumbe hupo? Ni kitambo jamvin. Bado unaendeshaga trela. Tatizo lako kila baada ya kilomita 20 unasimama kwa mama ntilie kula na porojo. Unatumia wiki nzima kufika Zambia
 
Gen. Muhoozi ni mtanzania mwenzetu akiwa amezaliwa Dslam. Unapata wapi haki we mtu wa Ipinda( Malawi ya zaman) kuhamasisha mtized halisi asiruhusiwe kurudi kwenye nchi yake ya kuzaliwa?
Alizaliwa moshi
 
Acha ujinga wewe upendo au maslahi?
Hivi unajua dharau inayohusisha nchi au jeshi la nchi maana yake nini.
Kama hujui kalisha masaburi kimya au kaharishe ulale. Mara ufipa mara chadema ndiyo mmebaki navyo tu. Hata ukiambiwa nchi inatekwa kesho utabakia oh chadema kama bundi ndege wa uchawi yaani.
Au wewe ni mojawapo wale wataalamu wa inteligensia ya ugaidi wanapoona wapinzani?
 

Iwapo waganda watalogwa huyo muhuni awe rais wao, atawafanyia kile walichofanyiwa na Iddy Amini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…