Tanzania inao wapuuzi wengi kuliko huyo Muhoozi.Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .
Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI
Limeisha hilo na 'MK' atarekebishwa!!Amina Kaka
Akili zako ni ngumu sana kuzielewa, labda mataga watakuelewaHizo tabia za vinyongo na visasi peleka huko huko Ufipa.
Nchi inafuata Demokrasia na protocol ya Diplomasia haina hicho kifungu.
Haya mambo vema umpelekee mwenyekiti wa kamati ya wapika sumu.... #Kubenea atumie kwenye kijarida chake ili apate neno la kuuzia karatasi zile.
Kauli zake zina madhara gani kwa Tanzania mpaka sasa?
Je!
Unaujua hata mchango wa Museveni na Kagame walioutoa wakati tukipigana na na Idd Amin?
Je!
Je unajua kwamba Museveni,kwa kuipenda Tanzania,alilazimika kubatilisha mpango wa bomba la mafuta Hoima-Mombassa na kulileta Tanzania kwenda Tanga?
Unajua kwamba Muhoozi ni mzaliwa wa hapa Tanzania?
Hizo chuki za #Chadema haziwajengi hata kidogo.halafu mnataka kushika dola?
Labda ya kule Rundugai!
Mkuu hivi kuna faida gani kuwa Mtanzania ambazo utazikosa kama ukiwa raia wa sehemu nyingine?Muhoozi alizaliwa Dar es salaam mwaka 1974. Ingekuwa Tanzania kuna dual citizenship angefuzu kuwa Mtanzania kwa kuzaliwa.
Bwashee Maghayo makasiriko ya nn sas?🤣Mbona kama nimetokea kumkubali sana yani......twitter nimem follow yeye na mama samia tu......
Akaribie....ni jambo jemq
GoodHamna cha kufanya huko chadema ndo maana unaanzisha upuuzi humu.
Ni M TZ by birthHuyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .
Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI
Kale ka askari mdoli kana akili za kitoto, kweli katahariya, kweli kamedekezwa na siyo siri siku M7 hayupo katakimbia nchi!Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .
Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI
RubbishNi kweli kabisa Mdogo wangu wa Damu steveachi huyu Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni Mtukutu Muhoozi Kainerugaba Kifamilia na Kiurafiki ni Kaka na Ndugu pia kwa Heshima ya Mzazi wangu na Mzazi wake ( Rais Museveni ) na pia kwa Ukaribu wa Familia nzima ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Kuhusu huu Upuuzi wa Muhoozi Kainerugaba ni kwamba hata Mzazi wangu, Familia ya Hayati Baba wa Taifa pamoja na Watu wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere ( MNF ) Wamechukizwa sana na hili ( hiki ) anachokifanya.
Kuna Watu Maalum ( akiwemo Mzazi wangu ) muda wowote kuanzia sasa wanaenda nchini Uganda kuonana na Baba yake Mzazi Rais Museveni na GENTAMYCINE nina Imani Kubwa kwa Heshima Kubwa aliyonayo Rais Museveni Kwao ( dhidi yao ). basi atawasikiliza na atamuonya mazima Mwanae kwakuwa hawa Watu Maalum wanaoenda Kumuona ndiyo kwa 99% wamemfanya Rais Museveni awe Rais wa Uganda kwa Uratibu mkubwa wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Binafsi Mwenyezi Mungu akipenda na Kubariki zaidi ama mwishoni mwa Mwaka huu 2022 au mapema mwanzoni mwa Mwaka ujao 2023 nitakuwa kwa Rais Museveni kwa Jukumu Maalum na nitakuwa Jirani na Mama ( First Lady Janet ) na Watoto wao hasa huyu Muhoozi na Dada yake Natasha ambao nina Ukaribu nao mkubwa kwakuwa Wote wamezaliwa Upanga Dar es Salaam Tanzania na wamekuwa pia wakija mara kwa mara Tanzania katika Matukio mbalimbali ya Kifamilia zetu na Urafiki wetu.
Mwisho labda nichukue Fursa hii Kuwaombeni Radhi Watanzania ambao kiukweli Mnachukizwa na haya ayafanyayo Muhoozi Kainerugaba kwani kiukweli hata Mimi pamoja na Wanafamilia wa huku Tanzania tumekwazika nalo ila muda si mrefu litakwisha.
Tunachokiona sasa ni kuwa huenda huyu Muhoozi Kainerugaba akawa na tatizo fulani Kichwani ( anadata ) au Kupendwa kupita kiasi na Kudekezwa mno na Baba yake huku akipewa Majukumu makubwa ya Kijeshi na Kiserikali ndiyo yamemponza na kumpa hizi Jeuri zote na hiki Kiburi chake chote.
Kuhusu Yeye Kuichokoza au kuisema vibaya Tanzania hilo nawatoeni Hofu Watanzania ( wana JamiiForums ) kuwa mara zote ambapo nilikuwa nae 1996 - 2002 Kwao Ikulu ya Nakasero nchini Uganda na kule Kijijini Kwao Rwakitura, Shambani Kisozi na Milimani kule Ntungamo na mwaka 2014 hadi katika Mawasiliano ya Simu na Mtandao hakuna nchi anbayo Muhoozi Kainerugaba anaipenda, anaiheshimu na anaigopa Kijeshi na Kiusalama ( Kiujasusi ) kama Tanzania yetu hii hivyo ondoeni Hofu na nasisitiza kuwaombeni kuwa Msameheni.
Asanteni.
Cc: Erythrocyte
Nilitaka nimjibu hvyo hvyo Ila CDM hpn kwa kweliHamna cha kufanya huko chadema ndo maana unaanzisha upuuzi humu.
Mkuu umemaliza kila kitu ,jamaa wa CDM wanna chuki Sana na watu waliofanikiwa either kisiasa au kiuchumi hupelekea kuwachukia watu na kuwaita wesi bila sababu ..Nin rfk angu Ni chademaa damuu ila chuki alizonazo usipime aliwa nimbia kak angu mm anapiga hell Sana nikamuambia kak angu ni professional hategemei Kaz za serekali kuwa hapo yey Ni value nnje ya ya Kaz zake za ardhi nikaona kbsa huu Ana wivu mno anatamani chadema watee nnchi wajekunyanganya watu Mali zaoHizo tabia za vinyongo na visasi peleka huko huko Ufipa.
Nchi inafuata Demokrasia na protocol ya Diplomasia haina hicho kifungu.
Haya mambo vema umpelekee mwenyekiti wa kamati ya wapika sumu.... #Kubenea atumie kwenye kijarida chake ili apate neno la kuuzia karatasi zile.
Kauli zake zina madhara gani kwa Tanzania mpaka sasa?
Je!
Unaujua hata mchango wa Museveni na Kagame walioutoa wakati tukipigana na na Idd Amin?
Je!
Je unajua kwamba Museveni,kwa kuipenda Tanzania,alilazimika kubatilisha mpango wa bomba la mafuta Hoima-Mombassa na kulileta Tanzania kwenda Tanga?
Unajua kwamba Muhoozi ni mzaliwa wa hapa Tanzania?
Hizo chuki za #Chadema haziwajengi hata kidogo.halafu mnataka kushika dola?
Labda ya kule Rundugai!
Sahih kbsa ccm watafanya ujinga San wakiwapa CDM nnchi kwa njia ya democracyKama makada wenyewe wa chadema ndo huyu mtoa mada, chama kifumuliwe HARAKA sana
Foolish.Rubbish
hapana kuhusu nini ?Nilitaka nimjibu hvyo hvyo Ila CDM hpn kwa kweli