Mtoto wa Zachary Kakobe: Mfikishieni salamu baba yangu namtafuta, sijaonana naye kwa Miaka 20, nikienda Kanisani sipati nafasi ya kumuona

Mtoto wa Zachary Kakobe: Mfikishieni salamu baba yangu namtafuta, sijaonana naye kwa Miaka 20, nikienda Kanisani sipati nafasi ya kumuona

Inaonekana huyu kijana Kuna vitu waliudhiana na Mzee wake..Kuna wazee wengi Sana walishawakataa na kuwafukuza watoto wao kisa Tabia zao au ukorofi wa mama zao...ila Kwa maelezo inaonekana huyu ni mtoto wake kabisa sio fake.....Mzee kakobe inaonekana hawa watoto aliwazaa kabla ya kupata wokovu au watoto wa ujana..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Aisee Kakobe mrudishe kijana home. Kama ulimfukuza Kwa kutoiamini Injili chanzo ni wewe Kutabiri Rais atakuwa Marehemu Augustino Lyatongq Mrema huku Mungu Akituletea Benjamin William Mkapa kuwa Rais Wa Tanzania.

Frank ameonyesha Jitihada nawe onyesha mfano wa Baba yule kwenye Mfano uliotolewa na Bwana Yesu Kristo wa Mwana Mpotevu.

Mwana wako Mpotevu amerejea mvike nguo na Pete kidoleni, Chinja Ngombe na Kufanya Sherehe Kubwa.

Kirchhoff
 
Hapana,huyu ni mtoto wake kweli kwenye miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikuwa anasali kwa baba yake na kila mtu alimjua,alipoanza ulevi tu akatimuliwa nyumbani,nimeshangaa amezeeka ghafla hivi
Yesu alikuja kwa ajili ya wenye mizigo au vifungo vya dhambi kama mtoto wake Frank. Mathayo 11:28. Mtumishi Kakobe afuate kielelezo cha Yesu kwa matendo na kumpokea mwanawe kwa huruma na upendo kama alivyopokelewa mwana mpotevu. Huo ndio ufuasi au ukristo wa kweli. Si majina makubwa ya kidini.

Aidha, mahubiri yetu yaendane na matendo yetu kwa kuanzia na kujali familia zetu. Mtu yeyote asiyewatunza wa kwake ni mbaya kuliko asiyeamini! 1 Timotheo 5:8
 
Aisee Kakobe mrudishe kijana home. Kama ulimfukuza Kwa kutoiamini Injili chanzo ni wewe Kutabiri Rais atakuwa Marehemu Augustino Lyatongq Mrema huku Mungu Akituletea Benjamin William Mkapa kuwa Rais Wa Tanzania.

Frank ameonyesha Jitihada nawe onyesha mfano wa Baba yule kwenye Mfano uliotolewa na Bwana Yesu Kristo wa Mwana Mpotevu.

Mwana wako Mpotevu amerejea mvike nguo na Pete kidoleni, Chinja Ngombe na Kufanya Sherehe Kubwa.

Kirchhoff
Sawa kabisa, ushauri wa ki-Ungu!
 
Huyu anacho mtafuta hivyo baba yake Kama hataki kisa hasa, yaonyesha choka mbaya ndomana anaangaika kujifanya kumsalimia kumbe shida yake msaada.
 
Hapana,huyu ni mtoto wake kweli kwenye miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikuwa anasali kwa baba yake na kila mtu alimjua,alipoanza ulevi tu akatimuliwa nyumbani,nimeshangaa amezeeka ghafla hivi
Dah!.. maisha tu
 
Hivi tunavyoongea ni miezi mingi sasa hata viongozi wake kumuona ni kwa barua maana amekuwa home hajaonekana kanisani.....

Anayemuona pekee ni Askofu wa Iringa.....

Tunaishi mbingu ya hapa hapa
Barua ya karatasi au hata e-mail?
 
Back
Top Bottom