Mtoto wa Zachary Kakobe: Mfikishieni salamu baba yangu namtafuta, sijaonana naye kwa Miaka 20, nikienda Kanisani sipati nafasi ya kumuona

Mtoto wa Zachary Kakobe: Mfikishieni salamu baba yangu namtafuta, sijaonana naye kwa Miaka 20, nikienda Kanisani sipati nafasi ya kumuona

Nimetuma SMS za simu nyingi tu lakini hakuna mafanikio, ninachokumbuka nimewahi kukutana naye mara kadhaa akiwa anaingia kwenye gari nikawa naishia kumsalimia “Shikamoo Baba”, basi baada ya hapo inaishi hivyohivyo.
Dah!...upendo wa Baba kwa mtoto umekwenda wapi ?...
 
We jamaa bana
Ndio hivyo nimesali hilo kanisa kuanzia mwaka 94 wakiwa karibu na CBE kabla ya kuhamia PTA sabasaba na baadae hapo Mwenge,kipindi hicho Kakobe akiishi Kijitonyama karibu na polisi mabatini,
Frank alikuwa my age kijana ntanashati kabisa,nashangaa kumuona akiwa kama mstaafu wakati mimi bado naonekana nina miaka 30
 
Mwambieni huyu jamaa akaze pumb* aachane na kumtafuta baba yake ili alelewe.
Yeye ameshakuwa mkubwa haoni hadi mavyuzii yake yameshakuwa na rangi nyeupe.?
Mwambieni akitaka vya bure aende Mombasa kuna watu wanatafuta watu wa kuwalea.
 
Kaamua kuwa mlevi kisa baba kamtelekeza?

Huyo jamaa katumwa kumchafua mpakwa mafuta wa Bwana
 
Back
Top Bottom