Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!...upendo wa Baba kwa mtoto umekwenda wapi ?...Nimetuma SMS za simu nyingi tu lakini hakuna mafanikio, ninachokumbuka nimewahi kukutana naye mara kadhaa akiwa anaingia kwenye gari nikawa naishia kumsalimia “Shikamoo Baba”, basi baada ya hapo inaishi hivyohivyo.
Yes it is possible under certain circumstances.Je inawezekana mtoto akamzidi umri Mzazi?
Ni haki ya mtoto kupata msaada wa baba yake, sio kosa, hata uwe na miaka 50 ,maisha yakikupiga kama baba yupo atowe msaadaHuyu anacho mtafuta hivyo baba yake Kama hataki kisa hasa, yaonyesha choka mbaya ndomana anaangaika kujifanya kumsalimia kumbe shida yake msaada.
Karatasi mkuuBarua ya karatasi au hata e-mail?
Hata kama anataka msaada hilo sio kosa, pia haiondoi ukweli kuwa anataka kuonana na Baba yake.Huyu anacho mtafuta hivyo baba yake Kama hataki kisa hasa, yaonyesha choka mbaya ndomana anaangaika kujifanya kumsalimia kumbe shida yake msaada.
Kwa nini hivyo, ana shida ganiHivi tunavyoongea ni miezi mingi sasa hata viongozi wake kumuona ni kwa barua maana amekuwa home hajaonekana kanisani.....
Anayemuona pekee ni Askofu wa Iringa.....
Tunaishi mbingu ya hapa hapa
Ndio hivyo nimesali hilo kanisa kuanzia mwaka 94 wakiwa karibu na CBE kabla ya kuhamia PTA sabasaba na baadae hapo Mwenge,kipindi hicho Kakobe akiishi Kijitonyama karibu na polisi mabatini,We jamaa bana
Mtoto kwa mzazi hakui.kuna mtoto wa miaka 43?
Mtoto wa kulea huyu!Kakobe achukue watoto wake awalee ni wajibu wake!
Cha pombe sana amelinajisi kanisa na kumuaibisha baba yakeKwa nini hivyo, ana shida gani
Pombe sio nzuri kabisa mkuuHahahaaa nchi ngumu sana ,huyo jamaa mbona anaonekana kama yeye mtoto wake ndiyo zacharia kakobe?
Mtoto hakui hata awe na miaka 300 wewe umemzaa ukiwa una miaka 400 kwako atabaki kua mtoto tuMtoto wa kulea huyu!
Baba amsamehe tu kijana wake kama mwana mpotevu alivyosamehewa na baba yake, hata Mungu hutusamehe sisi wakosefu kila siku.Cha pombe sana amelinajisi kanisa na kumuaibisha baba yake
Yaan umemaanisha kwamba?Kaamua kuwa mlevi kisa baba kamtelekeza?
Huyo jamaa katumwa kumchafua mpakwa mafuta wa Bwana