Mtoto wa Zachary Kakobe: Mfikishieni salamu baba yangu namtafuta, sijaonana naye kwa Miaka 20, nikienda Kanisani sipati nafasi ya kumuona

Katika pitapita zangu mitandaoni, nimekutana na makala hii inayohusu mahojiano aliyoyafanya huyu jamaa anaitwa Frank ambaye anasema ni mtoto wa Mchungaji Zachary Kakobe, nimeona si vibaya nikishea hapa inawezekana kama ni kweli basi ujumbe umfikie kwa urahisi mtumishi kwa kuwa najua JF ni platform kubwa na inafika mbali.

@@@@

Naitwa Frank Zachary Kakobe, mimi ni mzaliwa wa Tuliani, Wilayani Mvomelu Mkoani Morogoro, nilisoma Elimu ya Msingi Mwenge Mwaka 1986 hadi 1993 baada ya hapo nikaenda Real High School ipo Thiker Nchini Kenya

Baada ya hapo nikasomea masuala ya kompyuta nikapata Diploma katika chuo cha Techno Brain, sijui sasa hivi kinaitwaje.

Nina umri wa miaka 43, nina Watoto watatu na baada ya kuhitimu masomo yangu nilifanya kazi kadhaa za kiufundi.

Nia yangu ya kujitokeza kuzungumza hapa ni baba yangu apate taarifa juu ya uwepo wangu, tangu nilipoachana naye miaka 17 hadi 20 iliyopita, nimejaribu mara kadhaa kumtafuta kwa njia nyingi kupata mawasiliano naye lakini imekuwa ngumu.

Nimewahi kukaa pale Kanisani zaidi ya wiki sijaonana naye, nilipowaona viongozi wa Kanisa lake wakaniambia niandike barua ndio nitafanikiwa kumuona, nikafanya hivyo kwa kuandika barua za zaidi ya 300 lakini sijafanikiwa.

Nimetuma SMS za simu nyingi tu lakini hakuna mafanikio, ninachokumbuka nimewahi kukutana naye mara kadhaa akiwa anaingia kwenye gari nikawa naishia kumsalimia “Shikamoo Baba”, basi baada ya hapo inaishi hivyohivyo.

Nimeshaenda nyumbani Mbezi Beach lakini sijafanikiwa kuonana naye, hata wiki mbili zilizopita nilienda nikakutana na mlinzi ambaye akaniambia niandike barua.

Nikawa najiuliza niandike barua tena? Akaniambia ndio utaratibu, nikajiuliza niandike barua kuingia nyumbani!
View attachment 2546433
Nakiri kuwa hali ya mazingira kama hayo ikanifanya niwe mlevi, mara kadhaa nikawa nalewa licha ya kuwa mimi sipendi pombe.

Kuna muda nilikuwa nalewa kisha naenda Kanisani kumtafuta baba yangu kutokana na mawazo, nilikuwa nalala hapohapo Kanisani lakini hakuna mafanikio.

Sijui kuna ukuta upi uliotokea kati yangu na baba hadi anifanyie yote hayo, nakumbuka mara ya mwisho kupata mrejesho ilikuwa wakati nahitaji vyeti vya Watoto, nilituma SMS zaidi ya 80, ndipo nikajibiwa kuwa nifike getini nikachukue hivyo vyeti.

Nilienda na nikasaini kisha baada ya hapo sijawahi kupata mrejesho wowote.

Nilikuwa kimya muda mrefu, lakini nimeamua kufunguka na kumtafuta, mimi sina madai yoyote kuhusu baba, kwamba ndani ya miaka yoye hiyo ambayo sijamuona nadai kitu fulani, Hapana.

Unajua yeye ndiye kanilea kuanzia nikiwa mdogo nina miaka mitatu.

Kuhusu ukaribu wa wadogo zangu na mimi haupo, sijui wanapokaa wala wao hawajui ninapokaa na wala sijawahi kukaribishwa wala kushirikishwa kama familia licha ya kuwa mimi ndio nilikuwa ninawalea kwa kuwa walinikuta kaka yao.

Naamini barua ambazo nimekuwa nikituma inawezekana zinamfikia au hazimfikii, hivyo nimeamua kutumia nafasi hii kuweka wazi ili kama kuna ukuta upo kati yetu uweze kubomoka.

Matatizo katika familia yapo na ni kawaida kutokea, sijajua tatizo lililopo kati yangu mimi na yeye (Kakobe), kiasi kwamba kumekuwa na ukuta huo mkubwa.

Mfano mimi sinywi pombe kwa starehe, lakini imetokana na mawazo na kuathirika kisaikolojia, pia kwa kuwa nimeathirika kimaendeleo basi hata familia yangu pia imeathirika kwa njia moja au nyingine.

Baba yangu ni mtumishi na ninajua ana upendo sana, naamini haya mambo anaweza kuyatatua watu wakasameheana kama kulikuwa na shida.

Pia nina dada yangu anaitwa Mage ambaye naye hajaonana na baba kwa muda mrefu inawezekana zaidi hata ya ilivyo kwangu.

Chanzo: OnTV
43 bado unahangaika kutafuta Baba. Hatari sana.
 
Huyo baba gani mwenye roho chafu kias hicho Alf anajiita mtumishi wa Mungu.
Angeachana nae tu maan baba mwenyewe hana adabu wala utu.
 
Kifupi hilo jitu zima linalojiita toto la kakobe ni lijinga ukubwani

Watu huwa wajinga utotoni yeye kawa mjinga ukubwani

Huo umri sio wa kusumbua mzazi awe kaokoka au hajaokoka awe swala tano muislamu au kafiri

Kabila yangu hilo.jitu zima linalia lia kama toto lingekiona cha mtema kuni

Angetandikwa viboko hadi kutiwa ngeu kwa kumsumbua baba yake kwa umri huo alionao

Baba yake kama hataki kumuona lifie mbele huko jinga kubwa n
 
Kifupi hilo jitu zima linalojiita toto la kakobe ni lijinga ukubwani

Watu huwa wajinga utotoni yeye kawa mjinga ukubwani

Huo umri sio wa kusumbua mzazi awe kaokoka au hajaokoka awe swala tano muislamu au kafiri

Kabila yangu hilo.jitu zima linalia lia kama toto lingekiona cha kuni

😂😂😂😂 Aiseh amemuona baba ake ako na pesa za kutosha za sadaka analazimisha ety.
 
We Jamaa ni mtu unayeabudu chuki Sana na unafikra za kimasikini unathamini vitu over utu.
 
Katika pitapita zangu mitandaoni, nimekutana na makala hii inayohusu mahojiano aliyoyafanya huyu jamaa anaitwa Frank ambaye anasema ni mtoto wa Mchungaji Zachary Kakobe, nimeona si vibaya nikishea hapa inawezekana kama ni kweli basi ujumbe umfikie kwa urahisi mtumishi kwa kuwa najua JF ni platform kubwa na inafika mbali.

@@@@

Naitwa Frank Zachary Kakobe, mimi ni mzaliwa wa Tuliani, Wilayani Mvomelu Mkoani Morogoro, nilisoma Elimu ya Msingi Mwenge Mwaka 1986 hadi 1993 baada ya hapo nikaenda Real High School ipo Thiker Nchini Kenya

Baada ya hapo nikasomea masuala ya kompyuta nikapata Diploma katika chuo cha Techno Brain, sijui sasa hivi kinaitwaje.

Nina umri wa miaka 43, nina Watoto watatu na baada ya kuhitimu masomo yangu nilifanya kazi kadhaa za kiufundi.

Nia yangu ya kujitokeza kuzungumza hapa ni baba yangu apate taarifa juu ya uwepo wangu, tangu nilipoachana naye miaka 17 hadi 20 iliyopita, nimejaribu mara kadhaa kumtafuta kwa njia nyingi kupata mawasiliano naye lakini imekuwa ngumu.

Nimewahi kukaa pale Kanisani zaidi ya wiki sijaonana naye, nilipowaona viongozi wa Kanisa lake wakaniambia niandike barua ndio nitafanikiwa kumuona, nikafanya hivyo kwa kuandika barua za zaidi ya 300 lakini sijafanikiwa.

Nimetuma SMS za simu nyingi tu lakini hakuna mafanikio, ninachokumbuka nimewahi kukutana naye mara kadhaa akiwa anaingia kwenye gari nikawa naishia kumsalimia “Shikamoo Baba”, basi baada ya hapo inaishi hivyohivyo.

Nimeshaenda nyumbani Mbezi Beach lakini sijafanikiwa kuonana naye, hata wiki mbili zilizopita nilienda nikakutana na mlinzi ambaye akaniambia niandike barua.

Nikawa najiuliza niandike barua tena? Akaniambia ndio utaratibu, nikajiuliza niandike barua kuingia nyumbani!
View attachment 2546433
Nakiri kuwa hali ya mazingira kama hayo ikanifanya niwe mlevi, mara kadhaa nikawa nalewa licha ya kuwa mimi sipendi pombe.

Kuna muda nilikuwa nalewa kisha naenda Kanisani kumtafuta baba yangu kutokana na mawazo, nilikuwa nalala hapohapo Kanisani lakini hakuna mafanikio.

Sijui kuna ukuta upi uliotokea kati yangu na baba hadi anifanyie yote hayo, nakumbuka mara ya mwisho kupata mrejesho ilikuwa wakati nahitaji vyeti vya Watoto, nilituma SMS zaidi ya 80, ndipo nikajibiwa kuwa nifike getini nikachukue hivyo vyeti.

Nilienda na nikasaini kisha baada ya hapo sijawahi kupata mrejesho wowote.

Nilikuwa kimya muda mrefu, lakini nimeamua kufunguka na kumtafuta, mimi sina madai yoyote kuhusu baba, kwamba ndani ya miaka yoye hiyo ambayo sijamuona nadai kitu fulani, Hapana.

Unajua yeye ndiye kanilea kuanzia nikiwa mdogo nina miaka mitatu.

Kuhusu ukaribu wa wadogo zangu na mimi haupo, sijui wanapokaa wala wao hawajui ninapokaa na wala sijawahi kukaribishwa wala kushirikishwa kama familia licha ya kuwa mimi ndio nilikuwa ninawalea kwa kuwa walinikuta kaka yao.

Naamini barua ambazo nimekuwa nikituma inawezekana zinamfikia au hazimfikii, hivyo nimeamua kutumia nafasi hii kuweka wazi ili kama kuna ukuta upo kati yetu uweze kubomoka.

Matatizo katika familia yapo na ni kawaida kutokea, sijajua tatizo lililopo kati yangu mimi na yeye (Kakobe), kiasi kwamba kumekuwa na ukuta huo mkubwa.

Mfano mimi sinywi pombe kwa starehe, lakini imetokana na mawazo na kuathirika kisaikolojia, pia kwa kuwa nimeathirika kimaendeleo basi hata familia yangu pia imeathirika kwa njia moja au nyingine.

Baba yangu ni mtumishi na ninajua ana upendo sana, naamini haya mambo anaweza kuyatatua watu wakasameheana kama kulikuwa na shida.

Pia nina dada yangu anaitwa Mage ambaye naye hajaonana na baba kwa muda mrefu inawezekana zaidi hata ya ilivyo kwangu.

Chanzo: OnTV
mtoto mwenyewe mbona ni kama analingana na baba yake?
 
😂😂😂😂 Aiseh amemuona baba ake ako na pesa za kutosha za sadaka analazimisha ety.
Mzee Kakobe akishamaliza kwa kumsomesha na yeye kupata kazi hadi kuzaa watoto linamtamtakia nini mzee Kakobe linataka kumuua au?

Liendelee na maisha yake na familia yake liache kusumbua

Huo ni unyanyasaji wa wazi kwa wazee

Mzee ana haki ya kukataa kuonana na mtu mzima kama yeye ana mji wake na Kakobe ana mji wake kila mmoja kwenda kwenye mji wa mwingine haitakiwi kulazimisha ni upande husika utoe ridhaa kama hautaki basi

Angekuwa mtoto mdogo hata mimi ningesimama naye sio jitu zima hilo

Limwache Mzee Kakobe alone lipambane na hali yake
 
mtoto mwenyewe mbona ni kama analingana na baba yake?
Baba anataka kuonana na baba

Shame on him hilo linajiita litoto la kakobe wakati jitu zima linalingana na baba yake kwa muonekano

Jitu zima kujiita toto aibu
 
ingekuwa mimi kwa umri huo wala sihangaiki kumtafuta. kama kweli ni mwanawe, amemtelekeza maisha yote hayo hata umesoma na unajitegemea kisha unaanza kumtafuta mtu mzima mwenzako ambaye hana shida na wewe ni aibu. Dawa ni kujiconnect na wadogo au kaka zake zakary au dada zake, yeye unampotezea moja kwa moja. Kama ni kukutafuta yeye ndiye ahangaike kukutauta.
 
Kifupi huyo ni mjinga ukubwani

Watu huwa wajinga utotoni yeye kawa mjinga ukubwani
Athari za kutokuhusisha akili na mawazo ndo huzalisha posts hizi zisizo na uadamu.

BInadamu ambaye hana wazazi na haoni umuhimu wa wazazi ndiye anayeweza kumlaani mwanadamu mwenzake anayetafuta ukaribu na mzazi wake.

Unahubirije upendo wakati kuna chuki umeijenga kwa mwanafamilia wako?

Kwa taarifa yako, nimemfikia huyo mtoto kwa simu amenieleza mengi ya msingi na kwa hakika suala hili linahitaji hekima kubwa na litaenda kumsaidia hata Askofu mwenyewe.

Mungu ataweka wazi yote na shetani ataaibishwa
 
Back
Top Bottom