Mtoto wa Zachary Kakobe: Mfikishieni salamu baba yangu namtafuta, sijaonana naye kwa Miaka 20, nikienda Kanisani sipati nafasi ya kumuona

Mtoto wa Zachary Kakobe: Mfikishieni salamu baba yangu namtafuta, sijaonana naye kwa Miaka 20, nikienda Kanisani sipati nafasi ya kumuona

Pengine kweli mtoto wake, ila nafikili kuhusu kuonekana Kama ni mzee pengine nae labda mwenzetu hapo zamani alipita pita kwenye kamnyweso kale ka kienyeji....pengine lakini!!
Is better kufahamu behind the scene
 
Nadhani sasa unapambana na hisia zako.

Jipe muda uelewe undani wa hili suala. Mimi binafsi nimejiridhisha nimefika hadi kanisani hapo na kuweza kupata ukweli wa hili.

Nimefanikiwa pia kupata clue ya majirani wa familia pale Kijitonyama karibu na Mabatini alipokuwa anaishi mzee Kakobe.

Pia nimekuwa connected na jamaa walioshuhudia malezi ya huyo (hilo) mtoto unayetamani akaozee jela leo.

Kiufupi ni kuwa Askofu Kakobe hana sababu za kumkataa. Lakini unganisha dots kuwa hata wadogo zake wanamnyanyapaa hawana issue naye. Hapo ndipo mtu mwenye akili ya kupambanua anapata picha tatizo lipo wapi.

Kwa nini haujoulizi kuwa mbona hilo (huyo) totohamtafuti mama Askofu bali anataka tu kuzungumza na baba yake?

Unapokurupuka kukimbia mjusi bafu la.uswazi tena unatoka bila taulo hakuna ambaye atakuelewa unachokikimbia bali watapima uwezo wako wa akili na tukio la kukurupuka bila kujisitiri.

Jifunze kutafakari unaweza kuisaidia akili kufanya kazi hata once in your lifetime
Wana umri gani kuna umri mtoto hatakiwi nyumbani

Makabila kibao mfano kwa wakurya miaka kumi na tano tu lazima mtoto wa kiume ajitegemee na awe kwake

Sio hao tu yako mengi tu mtoto wa kiume zaidi ya miaka 18 hatakiwi kula hata nyumbani kwa mzazi anakuwa na kashamba kake na kajumba kake ka majani

Jitu zima miaka 43 linataka kuonana na baba yake na kwenda nyumbani kuhitaji msaada no please

Kakobe kazaliwa vijijini yuko sahihi

Mtoto miaka 43 hapana

Baba akisema usije kwangu baki tu kuwasiliana naye kwa simu tu usikanyage ofisini kwake wala nyumbani kwake kama hataki

Una agenda gani kukomaa kuwa lazima muonane uso kwa uso wakati simu zipo na namba unazo ? Si ukororofi huo
 
Si aende jpili kanisani kama waumini wengine ahakikishe siku hiyo baba ake yupo asubiri muda wa kutoa ushuhuda anaenda mbele aelezee kila kitu kinachomsumbua anakuwa ameshaonana na baba yake tayari
Kama ulikua hujui wale wanaotoa ushuhuda ni wa kupangwa basi leo uelewe kwahiyo hawezi kupewa access ya kupanda jukwaani
 
Hapo tatizo sio umesikiani hata akivizia sawa tu si babake?
Haikubaliki

Miaka 43 no please sio miaka ya kugombea cha mzazi anatakiwa awe alishapata chake kwa kuhangaikia maisha kivyake

Umri unakataa hata aende mahakamani

Hata mahakama itamshangaa
 
Kama ulikua hujui wale wanaotoa ushuhuda ni wa kupangwa basi leo uelewe kwahiyo hawezi kupewa access ya kupanda jukwaani
Hiyo ni biashara ya Baba yake hata kama kweli yeye inamhusu si apambane na maisha yake kwa nini ahangaike na biashara ya Baba yake aende zake zake huko

Hatuhataji ya Baba yake yake yamemshinda ahangaike na ya kwake .Yeye mtu mzima atafite maisha ya Baba yake hayamhusu

Ahangaike na maisha yake Baba yake amwche aendelee na maisha yake yawe ya kweli au ya kitapeli ya kwake.kwani hamuombi hela ya kuishi yeye apambane na ya kwake

Akome kumfuata fuata Baba yake
 
Wewe unaongea Kama Nani ?
 
We huyo mtoto wa kakobe kasema anahitaji Kuonana na Baba yake Wala hajasema anataka Kupewa Huduma za kuishi then miaka 43 mbona michache Sana unabidi kupewa Huduma TU vizuri hata wewe una umri Mkubwa lakini mfukoni apeche alole na baba angekuwa ndo kakobe sijui kama ungeongea uo Upumbavu
Kasema uchumi umeyumba hivyo na familia yake wameyumba

Uhusiano haulazimishwi uwe wa mzazi na mtoto mtu mzima miaka 43 huwezi lazimisha Uhusiano kuwa mzazi atake asitake lazima akubali uhusiano asipotaka atakoma utaenda vyombo vya habari au mahakamani

Aende kokote atakako iwe vyombo vya habari au mahakamani na aseme lolote

Jitu zima hilo miaka 43 linatishia nyau nani? Miaka 43 hata maisha hayajisimama jinga hilo. bado linasumbua wazazi

Halina akili
 
Aibu sana miaka 43 unalilia kutunzwa na baba yako, kuna tatizo kubwa hapa adui ujinga.
 
Kama ulikua hujui wale wanaotoa ushuhuda ni wa kupangwa basi leo uelewe kwahiyo hawezi kupewa access ya kupanda jukwaani
Makubwa 🤣🤣🤣 basi apambane na maisha yake ana familia inamtegemea hiyo baba baba inamsaidia nini wakati kuna watoto nae wanamwita baba
 
Kasema uchumi umeyumba hivyo na familia yake wameyumba

Uhusiano haulazimishwi uwe wa mzazi na mtoto mtu mzima miaka 43 huwezi lazimisha Uhusiano kuwa mzazi atake asitake lazima akubali uhusiano asipotaka atakoma utaenda vyombo vya habari au mahakamani

Aende kokote atakako iwe vyombo vya habari au mahakamani na aseme lolote

Jitu zima hilo miaka 43 linatishia nyau nani? Miaka 43 hata maisha hayajisimama jinga hilo. bado linasumbua wazazi

Halina akili
Miaka 43 mbona sio mingi kukwama kupo mtoto hakui kwa mzazi
 
Kama mzazi nisiyependa jitu zima lenye umri mkubwa miaka mingi kama hilo toto la Kakobe lenye miaka 43 lilazimishe uhusiano na mimi wakati sitaki kama mzazi
Ukizaa lazima umuhudumie mtoto Hadi yeye atakaposimama kiuchumi hakuna Cha umri miaka 43 midogo sana
 
Ukizaa lazima umuhudumie mtoto Hadi yeye atakaposimama kiuchumi hakuna Cha umri miaka 43 midogo sana
Umri huo Tanzania hakuna kabila yeyote wa umri huo awe mwanaume au mwanamke anategemea mzazi iwe mjini au kijijini

Huyo wa Kakobe atakuwa mvuta bangi
 
Ukizaa lazima umuhudumie mtoto Hadi yeye atakaposimama kiuchumi hakuna Cha umri miaka 43 midogo sana
Naona wenzetu wazungu ndio hii kitu wanaielewa vizuri,huwa nashangaa huku Africa MTU anamwacha mwanae ajihangaikie ilihali yeye akiwa na uwezo was kumsaidia.
Mwishowe mzazi anakufa mali zinabaki kwa yule yule kijana,kisha anazipoteza
 
Umri huo Tanzania hakuna kabila yeyote wa umri huo awe mwanaume au mwanamke anategemea mzazi iwe mjini au kijijini

Huyo wa Kakobe atakuwa mvuta bangi
Kama akumpatia misingi imara hawezi kusima economically
Elimu pekee haitoshi Mtu kutoboa na kuwa stable kiuchumi. Then the kid , he. Still young Miaka 43 ni umri mdogo Kama angekuwa anasoma ndo angekuwa labda ametoka pata PhD so hakuna Mambo ya makabila ukizaa mtoto Fahamu hiyo bonding umetengeneza hakuna kuachana ni kumuhudumia Hadi asimame kwa Miguu miwili ukiona huwezi kumuhudumia mtoto tumia Condom
 
Back
Top Bottom