YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kama anawasikiliza na kuwaheshimu nje ya hapo outmtu anabaki kuwa mtoto ili mradi wazazi wanaishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anawasikiliza na kuwaheshimu nje ya hapo outmtu anabaki kuwa mtoto ili mradi wazazi wanaishi
Achana na kitu inaitwa shida unawahi kuchokaHahahaaa nchi ngumu sana ,huyo jamaa mbona anaonekana kama yeye mtoto wake ndiyo zacharia kakobe?
Ni maoni yako binafsiKwa umri wake miaka 43 ni mtu mzima haki yake lazima ipate approval ya mzazi na mzazi hata akitaka kumwona mwanawe kwake mtoto akiwa na umri huo lazima huyo mtu mzima mwanawe mwenye miaka 43 atoe approval kuwa mzazi ruksa njoo nione sio kushinikiza kuwa mimi mzazi lazima nije kwako mwanangu jitu zima miaka 43
Alipotea miska 20 na baba yake akampotezea ngoma drooMtu akikupotezea we naye mpotezee tu, sasa miaka yote hiyo unasumbuka mtafuta mtu, jitafute
Mwana mpotevu alipokelewa na baba yake japo alikuwa amemkosea, hata huyu anastahili msamaha kama kweli alikosea.Alipotea miska 20 na baba yake akampotezea ngoma droo
Mwana mpotevu hakwenda kuomba msamaha akiwa kalewa na kupuliza bangi kama huyo wa Kakobe tofautishaMwana mpotevu alipokelewa na baba yake japo alikuwa amemkosea, hata huyu anastahili msamaha kama kweli alikosea.
Mchungaji mwema hawezi kuacha hata kondoo mmoja apotee kisa eti kuna wengine 99 wamebaki.Mwana mpotevu hakwenda kuomba msamaha akiwa kalewa na kupuliza bangi kama huyo wa Kakobe tofautisha
Huyo ana miaka 40 atalelewa na mke wakeKakobe achukue watoto wake awalee ni wajibu wake!
Je inawezekana mtoto akamzidi umri Mzazi?
Mwambie kakobe alee watoto wake aache janja janja the kid is very young ndo kwanza has turned 40 yrsKama anawasikiliza na kuwaheshimu nje ya hapo out
Kwa umri ule au ulevi wake ?Ni kweli kuna watu wanatafuta watoto lakini sio sampuli ya huyo
Mtoto ni mtoto Pombe ni kila Mtu anakunywa na miaka 40 sio Mingi anabidi kutunzwa na kupewa haki zake za kutunza utu wakeKwa umri ule au ulevi wake ?
Ila haibadilishi ukweli kuwa ni mwanaye
Umekuja vizuri daktari naomba mueleweshe YEHODAYAMtoto ni mtoto Pombe ni kila Mtu anakunywa na miaka 40 sio Mingi anabidi kutunzwa na kupewa haki zake za kutunza utu wake
Mchungaji mwema hawezi kuacha hata kondoo mmoja apotee kisa eti kuna wengine 99 wamebaki
Kijana anaitafuta miaka 50I see,ni kweli kabisa huyu ni Mtoto wa Askofu Kakobe,kaka wa Sifa,Ezekiel na mwingine mdogo..wakiishi Knyama mtaa wa Marehemu Mzee Kambangwa na Kusaga Ndege,..
Hebu Mzee wetu Askofu Kakobe,rudisha MOYO,kijana anaonekana kujirudi,msamehe na muonyeshe njia..
Nadhani sasa unapambana na hisia zako.Hilo toto zima hilo miaka 43 liache kunyanyapaa huyo mzee Kakobe
Kama hataki kuonana naye aendelee na maisha hilo toto zee liache kunyanyapaa Mzee Kakobe nyumbani kwake na Kanisani liendelee na maisha yake yakikubali sawa yakigoma sawa si ya kwake na ndiyo aliyoyachagua zaidi ya miaka 20 iliyopita
Aendelee na maisha yake