Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto kwa mama hakui sio kwa baba usichanganye manenoMtoto kwa mzazi hakui.
inawezekana nimepotosha ama sijapotosha lakini nikuambie siongeagi jambo ambalo sijalitafiti.Usipotoshe maandiko kwa Issue ya mtoto wa Kakobe
Mwana mpotevu alienda kwa baba yake nyumbani tena akiwa na akili timamu huyo anasema amekuwa akienda hadi kanisani akiwa kalewa njwiii kutaka kuonana na baba yake kanisani anataka nini? Kwenda kalewa kanisani ambako baba yake anahudumu ? Kumwaibisha au kumharibu kisaikolojia apate presha are madhabahuni aanze ugomvi wa mirathi au nini? Lengo la kwenda kalewa kanisani kama sio kuharibu huduma ya baba yake mzazi ni nini?
Kwa hili nadimama na Kakobe mtoto alichofanya school na sio mtoto ana miaka 43 na ana watoto na kasema uchumi wake umeyumba kwa hiyo anataka Mzee Kakobe ampe sadaka za kanisani kwa nguvu na shinikizo?
Anachofanya ni kitendo cha unyasasaji wazee next time akifika akamatwe apelekwe polisi Mzazi akigoma kukuona ukiwa na miaka 43 sio kesi hutakiwi ku.force uhusiano
Baba kasema sikutaki to hell kila mtu aendelee na maisha yake
Wanasheria kanisani akija hapo.kanisani mpelekeni polisi awekwe ndani na mburuzeni mahakamani kwa kufanya fujo kanisani na kunyanyasa mzazi wake
Hata kama Mzee Kakobe hataki mpelekeni Polisi na mahakamani
kwa kipimo kipiMmmmmmmmm uongo
Mtoto mpotevu alifuja mali za baba yakeinawezekana nimepotosha ama sijapotosha lakini nikuambie siongeagi jambo ambalo sijalitafiti.
Sehemu kubwa ambayo shetani anaipenda sana ktk kuiangusha familia ni mahusiano ya wazazi na watoto. na kwa kutokujua kwako umesimama kama mjumbe wa shetani kwenye hii ishu.
Ukiendelea kudeal na matokeo badala ya kudeal na chanzo cha tatizo. Ukosefu wa akili husababisha familia kusambaratika. jifunze kwenye hili.
punguza kufuru.
Ana haki kuonana na baba yakeMwambieni huyu jamaa akaze pumb* aachane na kumtafuta baba yake ili alelewe.
Yeye ameshakuwa mkubwa haoni hadi mavyuzii yake yameshakuwa na rangi nyeupe.?
Mwambieni akitaka vya bure aende Mombasa kuna watu wanatafuta watu wa kuwalea.
Wajibu wa mzazi kwa mtoto ni akiwa mdogo sio jitu zima kama hilo miaka 43 tena lenye watoto na mji wakekwa kipimo kipi
Kwa umri wake miaka 43 ni mtu mzima haki yake lazima ipate approval ya mzazi na mzazi hata akitaka kumwona mwanawe kwake mtoto akiwa na umri huo lazima huyo mtu mzima mwanawe mwenye miaka 43 atoe approval kuwa mzazi ruksa njoo nione sio kushinikiza kuwa mimi mzazi lazima nije kwako mwanangu jitu zima miaka 43Ana haki kuonana na baba yake
Jitu zima linakurupuka na kuandika poroporo mtandaoni likijifanya ndo wakili wa familia.Wajibu wa mzazi kwa mtoto ni akiwa mdogo sio jitu zima kama hilo miaka 43 tena lenye watoto na mji wake
Ana haki kwa kibali cha baba yake akisema njoo sawaAna haki kuonana na baba yake
Hilo toto zima hilo miaka 43 liache kunyanyapaa huyo mzee KakobeJitu zima linakurupuka na kuandika poroporo mtandaoni likijifanya ndo wakili wa familia.
How about that?
Kwa mfano wewe chapombe una utajiri gani labda na pombe zako?Pamoja Na yote ila maisha bila pombe yafaa nini??
😂😂😂😂😂😂Frank Kakobe alikuwa chapombe hatari na totoz kalikali za kanisani kwao, enzi hizooo! Sijui alipotelea wapi
Sijawahi kuwa Na ndoto za kuwa tajiri tayari Nina mafanikio kinachoniumizaga nafsi kuhusu pombe ni suala la AFYA tu basiKwa mfano wewe chapombe una utajiri gani labda na pombe zako?
Mwanae chapombe na bangi mtu huyo aweza ua mzazi aanzishe vita ya mirathi huyo kasema uchumi umeyumba aweza piga rungu mzee wa watu huyoMiaka 43 mbona amekomaa hivyo Kama ana miaka 60! Inaonekana anateseka sana wakati baba yake ni bilionea! Kakobe aache kunyanyasa watoto kwa kujifanya Mungu mtu.. yaani mtoto wako mwenyewe akija nyumbani hawezi kuingia mpaka aandike barua! Hatari sana
Hatujakusikia kuwemo kundi la mabilionea Tanzania au ni tajiri unaetambulika kwenye vijiwe vya gongo ?Sijawahi kuwa Na ndoto za kuwa tajiri tayari Nina mafanikio kinachoniumizaga nafsi kuhusu pombe ni suala la AFYA tu basi
Ni kweli kuna watu wanatafuta watoto lakini sio sampuli ya huyoKakobe mpokee mwanao wenzako wanatafuta watoto hawapati