Mtoto wa Zachary Kakobe: Mfikishieni salamu baba yangu namtafuta, sijaonana naye kwa Miaka 20, nikienda Kanisani sipati nafasi ya kumuona

Mtoto wa Zachary Kakobe: Mfikishieni salamu baba yangu namtafuta, sijaonana naye kwa Miaka 20, nikienda Kanisani sipati nafasi ya kumuona

Hakuna watu wabaya zaidi ya hao wanaojiita watumishi wa Bwana.

Hapo wanaofia mali, mke kashika bango akisema mwana wa mjakazi hataridhi mali

Waambieni waache roho mbaya, mali zenyewe ni sadaka kutoka mifuko ya watu,
 
Usipotoshe maandiko kwa Issue ya mtoto wa Kakobe

Mwana mpotevu alienda kwa baba yake nyumbani tena akiwa na akili timamu huyo anasema amekuwa akienda hadi kanisani akiwa kalewa njwiii kutaka kuonana na baba yake kanisani anataka nini? Kwenda kalewa kanisani ambako baba yake anahudumu ? Kumwaibisha au kumharibu kisaikolojia apate presha are madhabahuni aanze ugomvi wa mirathi au nini? Lengo la kwenda kalewa kanisani kama sio kuharibu huduma ya baba yake mzazi ni nini?

Kwa hili nadimama na Kakobe mtoto alichofanya school na sio mtoto ana miaka 43 na ana watoto na kasema uchumi wake umeyumba kwa hiyo anataka Mzee Kakobe ampe sadaka za kanisani kwa nguvu na shinikizo?

Anachofanya ni kitendo cha unyasasaji wazee next time akifika akamatwe apelekwe polisi Mzazi akigoma kukuona ukiwa na miaka 43 sio kesi hutakiwi ku.force uhusiano

Baba kasema sikutaki to hell kila mtu aendelee na maisha yake


Wanasheria kanisani akija hapo.kanisani mpelekeni polisi awekwe ndani na mburuzeni mahakamani kwa kufanya fujo kanisani na kunyanyasa mzazi wake

Hata kama Mzee Kakobe hataki mpelekeni Polisi na mahakamani
inawezekana nimepotosha ama sijapotosha lakini nikuambie siongeagi jambo ambalo sijalitafiti.
Sehemu kubwa ambayo shetani anaipenda sana ktk kuiangusha familia ni mahusiano ya wazazi na watoto. na kwa kutokujua kwako umesimama kama mjumbe wa shetani kwenye hii ishu.

Ukiendelea kudeal na matokeo badala ya kudeal na chanzo cha tatizo. Ukosefu wa akili husababisha familia kusambaratika. jifunze kwenye hili.

punguza kufuru.
 
inawezekana nimepotosha ama sijapotosha lakini nikuambie siongeagi jambo ambalo sijalitafiti.
Sehemu kubwa ambayo shetani anaipenda sana ktk kuiangusha familia ni mahusiano ya wazazi na watoto. na kwa kutokujua kwako umesimama kama mjumbe wa shetani kwenye hii ishu.

Ukiendelea kudeal na matokeo badala ya kudeal na chanzo cha tatizo. Ukosefu wa akili husababisha familia kusambaratika. jifunze kwenye hili.

punguza kufuru.
Mtoto mpotevu alifuja mali za baba yake
Kakobe alimsomesha vizuri na akawa na maisha aliondoka kwake na akili timamu anamrudia akili zimeharibika aweza ua mzazi aenda kalewa kanisani hujui kavuta bangi au nini Halafu jitu zima miaka 43 huyo sio mtoto yule wa kisheria ambapo sheria hutaka mzazi awajibike yaani wa umri wa shule ya msingi au sekondari jitu zima hilo linasumbua baba yake kwa lipi? Liendelee na maisha yake kama baba yake halitaki si ni jitu zima
 
Mwambieni huyu jamaa akaze pumb* aachane na kumtafuta baba yake ili alelewe.
Yeye ameshakuwa mkubwa haoni hadi mavyuzii yake yameshakuwa na rangi nyeupe.?
Mwambieni akitaka vya bure aende Mombasa kuna watu wanatafuta watu wa kuwalea.
Ana haki kuonana na baba yake
 
Ana haki kuonana na baba yake
Kwa umri wake miaka 43 ni mtu mzima haki yake lazima ipate approval ya mzazi na mzazi hata akitaka kumwona mwanawe kwake mtoto akiwa na umri huo lazima huyo mtu mzima mwanawe mwenye miaka 43 atoe approval kuwa mzazi ruksa njoo nione sio kushinikiza kuwa mimi mzazi lazima nije kwako mwanangu jitu zima miaka 43
 
Ana haki kuonana na baba yake
Ana haki kwa kibali cha baba yake akisema njoo sawa

Na baba yake hawezi kwenda kwake hilo li jitu zima miaka 43 bila kibali chake

Kila upande lazima kutoa kibali kuonana
 
Jitu zima linakurupuka na kuandika poroporo mtandaoni likijifanya ndo wakili wa familia.

How about that?
Hilo toto zima hilo miaka 43 liache kunyanyapaa huyo mzee Kakobe

Kama hataki kuonana naye aendelee na maisha hilo toto zee liache kunyanyapaa Mzee Kakobe nyumbani kwake na Kanisani liendelee na maisha yake yakikubali sawa yakigoma sawa si ya kwake na ndiyo aliyoyachagua zaidi ya miaka 20 iliyopita

Aendelee na maisha yake
 
Hata mimi punde nitaanza kumtafuta mzee wangu.

Bora yake hake hata anamjua, mi hata zura siijui, jina nilifanya kuliiba mahali.

Naamini one day ntampata
 
Miaka 43 mbona amekomaa hivyo Kama ana miaka 60! Inaonekana anateseka sana wakati baba yake ni bilionea! Kakobe aache kunyanyasa watoto kwa kujifanya Mungu mtu.. yaani mtoto wako mwenyewe akija nyumbani hawezi kuingia mpaka aandike barua! Hatari sana
Mwanae chapombe na bangi mtu huyo aweza ua mzazi aanzishe vita ya mirathi huyo kasema uchumi umeyumba aweza piga rungu mzee wa watu huyo

Usalama wa Kakobe muhimu
 
Sijawahi kuwa Na ndoto za kuwa tajiri tayari Nina mafanikio kinachoniumizaga nafsi kuhusu pombe ni suala la AFYA tu basi
Hatujakusikia kuwemo kundi la mabilionea Tanzania au ni tajiri unaetambulika kwenye vijiwe vya gongo ?
 
Back
Top Bottom