Nadhani sasa unapambana na hisia zako.
Jipe muda uelewe undani wa hili suala. Mimi binafsi nimejiridhisha nimefika hadi kanisani hapo na kuweza kupata ukweli wa hili.
Nimefanikiwa pia kupata clue ya majirani wa familia pale Kijitonyama karibu na Mabatini alipokuwa anaishi mzee Kakobe.
Pia nimekuwa connected na jamaa walioshuhudia malezi ya huyo (hilo) mtoto unayetamani akaozee jela leo.
Kiufupi ni kuwa Askofu Kakobe hana sababu za kumkataa. Lakini unganisha dots kuwa hata wadogo zake wanamnyanyapaa hawana issue naye. Hapo ndipo mtu mwenye akili ya kupambanua anapata picha tatizo lipo wapi.
Kwa nini haujoulizi kuwa mbona hilo (huyo) totohamtafuti mama Askofu bali anataka tu kuzungumza na baba yake?
Unapokurupuka kukimbia mjusi bafu la.uswazi tena unatoka bila taulo hakuna ambaye atakuelewa unachokikimbia bali watapima uwezo wako wa akili na tukio la kukurupuka bila kujisitiri.
Jifunze kutafakari unaweza kuisaidia akili kufanya kazi hata once in your lifetime