Mtoto wangu ana baba wawili

Mkuu you never know unaweza ukakuta hata wewe baba yako mzazi ni mwingine kabisa sio huyo unayemjua...
 
Kwa ulimwengu wa sasa usimwamini mtu yeyote, jiamini ww mwenyewe.
Kama ni DNA fanya initiatives za kupima wewe mwenyewe mahali ambapo una uhakika mwanamke hatakuwa na uwezo wa kuingilia mchakato wa matokeo. Pili, issue ya tarehe isikudanganye, inawezekana wewe ulilala naye tarehe 10, mwenzako akapewa papuchi tarehe 11 au 12, au hata tarehe 9. Ndo maana wote mmechanganywa na mmechanganyikiwa
 
Pindi wanaume wawili mnapogundua mna mahusiano na mwanamke mmoja yule atakaebaki na huyo mwanamke ndo mwanaume dhaifu zaidi
Kitendo cha kugundua Tu yupo na jamaa angepiga chini iyo single mama
 
Integrity kwenye kupima DNA bongo ni mashaka
Wajirekebishe kwa kweli.
Wafanye kazi kwa namna ambao wananchi wanaweza kuwaamini majibu yao
 
Kijana pia ana ujasiri,Dunia hii huishi na mwanamke unatoka huko ulikotoka unaenda kupiga Kavu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…