Mtoto wangu ana baba wawili

Mtoto wangu ana baba wawili

Mkuu you never know unaweza ukakuta hata wewe baba yako mzazi ni mwingine kabisa sio huyo unayemjua...
 
Wakuu maisha yangu yamejaa mapito magumu sana ambayo kuwa sitarajii kabisa kukutana nayo kwenye maisha yangu.

mwaka juzi mwezi wa kumi tarehe 9 nilitoka mbeya na kurudi dar na kesho yake nilikutana kimwili na mwanamke ambaye tulikuwa na mahusiano kitambo . Baada ya kumaliza yaliyonileta dar nilirudi kwenye harakati za mikoani . Baada kama ya mwezi yule mwanamke aliniambia ameshika ujauzito mimi nilifurahi ila nikawa na wasiwasi huenda mimba sio yangu.

Nikamjulisha hilo akadai kuwa ni uhakika mimba ni yangu . Nikamjulisha basi kama mimba ni yangu lazima ajifungue tarehe 10 mwezi wa saba mwaka jana.

Na kweli alijifungua tarehe hiyo hiyo nilikuwa nisharudi dar na nilimhudumia vizuri tu japo sio kwa ukubwa ambao ningemhudumia kama nisingekuwa na mashaka.

Naomba niwajulishe zaidi kuhusu huyu mwanamke. Alikuwa na mtoto mmoja alizaa na jamaa mmoja . wakati nipo kwenye mahusiano nae nikiwa dar alikuwa kwa wazazi sikuwa nimepata taarifa kuwa tayari alienda kuishi na jamaa.

Sasa mwaka jana mwezi wa 12 nikawa nimepigiwa simu na namba ngeni nikapokea . Baada ya salamu jamaa akaniuliza unamfahamu Rose ( sio jina halisi)

Nikamjibu ndio namfahamu

Ninani kwako . Nikamjibu kwanini unaniuliza

Ndio akaniambia kuwa amekuwa akiona mawasiliano yangu na rose mda mrefu ila kuwa hajui kinachoendelea na muda mrefu anaishi na rose.

Nikaamua kumuuliza mtoto wa mwisho niwa kwako akadai ni wake aisee?

Moyo ulishtuka sana?

Ikabidi nimwambie ukweli kuwa ni mtoto wangu na nipo kwenye mahusiano na rose kitambo kumwaminisha zaidi ni cheti cha kuzaliwa cha mtoto ambacho kina jina langu na jina nililompa mtoto mimi
Japokuwa baadae niligundua nyumbani kuwa wanamwita jina jingine

Basi jamaa tulitulizana kiume na akadai kwenda kupima DNA ila jioni yake nikampigia akiwa na rose nikamwambia ampe simu rose aweke loud speaker aseme mtoto ni wanani ila rose aligoma katu , tukapanga tutakutana tuongee na jamaa ila akapotea moja kwa moja na alinyamaza.

Mahusiano yao yaliyumba akamwacha mwanamke mwenyewe mpaka sasa anafika mara chache sana na hahudumii kama awali na mimi vivyo hivyo nimepunguza sana kuhudumia.

Japokuwa ananiaminisha sana na mtoto ana vingi anafanana na mimi zaidi ila mashaka yapo . Hata wazazi wake aliwaambia mtoto Mtoto ni wangu ila bado hata nao siwaamini sijui nifanyeje moyo wangu uwe huru

Ni mtoto kike mzuri sana.

Natamani sana hili likae vizuri.

Kama ni mtoto wangu nimpe matunzo asilimia mia na nimweke moyoni nifurahie.

Kama sio mwanangu basi ni move on.

Hili linaniumiza sana maana sina ujasiri wa kukemea malezi anayolelewa mwanangu na ningependa kuandaa future yake nimfungulie account mapema nianze kumwekea vishilingi lakini ndio hivyo nipo katikati

Mnanishauri nifanyeje wakuu?
Kwa ulimwengu wa sasa usimwamini mtu yeyote, jiamini ww mwenyewe.
Kama ni DNA fanya initiatives za kupima wewe mwenyewe mahali ambapo una uhakika mwanamke hatakuwa na uwezo wa kuingilia mchakato wa matokeo. Pili, issue ya tarehe isikudanganye, inawezekana wewe ulilala naye tarehe 10, mwenzako akapewa papuchi tarehe 11 au 12, au hata tarehe 9. Ndo maana wote mmechanganywa na mmechanganyikiwa
 
Integrity kwenye kupima DNA bongo ni mashaka
Wajirekebishe kwa kweli.
Wafanye kazi kwa namna ambao wananchi wanaweza kuwaamini majibu yao
 
Mwamba akapime DNA hata akute mtoto ni wake yeye atoe huduma tu kwa mtoto ila sio kigezo cha kufanya maisha na huyo mwanamke. Kwa nini? Kuna sababu mbili kuu

KWANZA, mwanamke ni malaya. Nimeona kuna sehemu mwamba anasema demu alikuwa anaishi na jamaa wana mtoto mmoja.

Imagine jamaa kaja Dar tu leo anaomba mzigo kesho anatunukiwa hiyo tayari ni red flag kuwa manzi ni malaya na hata hajui baba wa mtoto ni nani inaonyesha anatombesha sana.

PILI, akifanya naye maisha kisa tu mtoto ni wake atakuwa amefanya maisha na single maza. Na kanuni zetu ni zilezile inapohusu single maza:

●Hatulei bao la mwanaume mwingine

●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake

●Single maza waolewe na baba za watoto wao

●Single maza ni wa kupiga na kusepa

Mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza

Learn or perish
Kijana pia ana ujasiri,Dunia hii huishi na mwanamke unatoka huko ulikotoka unaenda kupiga Kavu.....
 
Back
Top Bottom