Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

the numb 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2020
Posts
1,562
Reaction score
2,902
Nina mtoto wa kiume umri miaka 2.5, huyu kijana wangu akiwa na hasira ana tabia ya kujibonda chini au sehemu yoyote kwa nguvu sana na pia anang'ata sana, kufinya, angali akiwa toka mdogo nikajua labda akikuwa ataacha.

Sasa hivi imekuwa too much anaweza fanya kitu ukamtoa au ukamnyang'anya basi ni ugomvi mzito.

Katoka nundu chini ya jicho jana tu sasa hivi napata taarifa kavimba kichwa washavurugana na mama yake.

Kiukwel hii hali inanipa wasiwasi sijui huyu mtoto ana tatizo gani halafu anakuwa ana hasira kali sana muda mwingine anataka mpaka mpigane kama mkitibuana anakukwida.
 
Athari za Mama kuwa na hasira kipindi kirefu akiwa mjamzito.

Mnatakiwa kujitahidi wake zenu wawe katika furaha siku zote za ujauzito hata kwa kujifosi.

Homoni za wakati wa Mimba matokeo yake ndio haya.

Signal na Mazingira vizingatiwe kwa mjamzito.
 
Kitu kilichonishinda ni hizo hasira za mpk kurusha kilicho mbele yako, kujigonga…
Huyo mtoto mama ake uwa hambamizi na makopo kweli ama ndala? 😁😁

Mlete nikusaidie kumchapa… unakachapa kisawa sawa, kisha unakapa maelekezo. Hakawezi rudia
 
Back
Top Bottom