Nina mtoto wa kiume umri miaka 2.5,huyu kijana wangu akiwa na hasira anatabia ya kujibonda chini au sehem yoyote kwa nguvu sana na pia anang'ata sana,kufinya, angali akiwa toka mdogo nikajua labd akikuwa ataacha.
Saiv imekuw 2much anaeza fanya kitu ukamtoa au ukamnyang'anya bhas ni ugomv mzito katoka nundu chin ya jicho jana tu saiv napata taarifa kavimba kichwa washavirugana na mama ake kiukwel hii hali inanipa wasiwasi sijui huyu mtoto anatatizo gn alaf anakuwa anahasira kali sana muda mwingin anataka mpk mpigane km mkitibuana anakukwida