Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

Mtoto wa miaka miwili anaweza kuwa na tabia ya aina yoyote
Ukiangalia michango ya watu hapa ni kuwa, mtoto wa miaka miwili akifanya hivyo ni abnormal, yaani kunakuwa na jambo halipo sawa. Ila kama ni kiburi, maana yake mtoto yupo sawa ila amechagua kwa kufuata mkondo. Sasa kama mzazi anashangaa, ni wazi kuwa huo mkondo haupo
 
Ukiangalia michango ya watu hapa ni kuwa, mtoto wa miaka miwili akifanya hivyo ni abnormal, yaani kunakuwa na jambo halipo sawa. Ila kama ni kiburi, maana yake mtoto yupo sawa ila amechagua kwa kufuata mkondo. Sasa kama mzazi anashangaa, ni wazi kuwa huo mkondo haupo

Hiyo ni michango yao,na mie nimetoa yangu...sio lazima yangu yaendane na ya wengi

Jambo kutokuwa sawa,hilo jambo haliwezi kuwa malezi?

Mzazi anashangaa kitu ambacho deep down anajua chimbuko la mtoto wake...ukipitia kwenye moja ya majibu yake hata yeye amekubali ana shida ya hasira
 
Nina mtoto wa kiume umri miaka 2.5, huyu kijana wangu akiwa na hasira anatabia ya kujibonda chini au sehem yoyote kwa nguvu sana na pia anang'ata sana, kufinya, angali akiwa toka mdogo nikajua labd akikuwa ataacha.

Saiv imekuw 2much anaeza fanya kitu ukamtoa au ukamnyang'anya basi ni ugomvi mzito katoka nundu chin ya jicho jana tu saiv napata taarifa kavimba kichwa washavirugana na mama ake kiukwel hii hali inanipa wasiwasi sijui huyu mtoto anatatizo gn alaf anakuwa anahasira kali sana muda mwingin anataka mpk mpigane km mkitibuana anakukwida
Duuu mnunulie helmet tu maana hakuna namna
 
ana autisim
Hizi nchi zetu watoto wanaweza kuwa na condition za kitabibu lakini tunaishia kusema huyu mtoto mkorofi au amelogwa. Kwa mfano hii autism wengi wanadhani ni lazima mtu awe na ile shape ya mtindio wa ubongo kumbe hata watu wa kawaida kabisa wanaweza kuwa nayo. Old guard jaribu kutafiti u-rule out uwezekano wa kuwa ana autism.
Hii ni moja ya dalili zake:
Self-Injury – Some individuals on the autism spectrum bang their head against the ground or wall, bite their hands, or excessively rub or scratch their skin. There are many ways to treat these behaviors including medical, sensory, nutritional, and behavioral approaches. Talk to your doctor as soon as possible if your child engages in any form of self-injurious behavior.
 
Back
Top Bottom