Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Nami nilitaka nimuambie hivi lkn nikafikiri nikapata jibu kwamba hii huduma anapashwa kupewa mtoa mada kwanza.Akijibonda mkung'ute kisawasawa ila usimuue tu😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami nilitaka nimuambie hivi lkn nikafikiri nikapata jibu kwamba hii huduma anapashwa kupewa mtoa mada kwanza.Akijibonda mkung'ute kisawasawa ila usimuue tu😂
Hata mimi naona hivi.Mtoto hana shida
Shida ni malezi mliyompa...ana kiburi
No offense
Ahahaa,Cdf wa baadae huyo,asije akawa dikteta tuNina mtoto wa kiume umri miaka 2.5, huyu kijana wangu akiwa na hasira anatabia ya kujibonda chini au sehem yoyote kwa nguvu sana na pia anang'ata sana, kufinya, angali akiwa toka mdogo nikajua labd akikuwa ataacha.
Saiv imekuw 2much anaeza fanya kitu ukamtoa au ukamnyang'anya basi ni ugomvi mzito katoka nundu chin ya jicho jana tu saiv napata taarifa kavimba kichwa washavirugana na mama ake kiukwel hii hali inanipa wasiwasi sijui huyu mtoto anatatizo gn alaf anakuwa anahasira kali sana muda mwingin anataka mpk mpigane km mkitibuana anakukwida
Usimpe attention sana, akikuwa ataacha.Nina mtoto wa kiume umri miaka 2.5, huyu kijana wangu akiwa na hasira anatabia ya kujibonda chini au sehem yoyote kwa nguvu sana na pia anang'ata sana, kufinya, angali akiwa toka mdogo nikajua labd akikuwa ataacha.
Saiv imekuw 2much anaeza fanya kitu ukamtoa au ukamnyang'anya basi ni ugomvi mzito katoka nundu chin ya jicho jana tu saiv napata taarifa kavimba kichwa washavirugana na mama ake kiukwel hii hali inanipa wasiwasi sijui huyu mtoto anatatizo gn alaf anakuwa anahasira kali sana muda mwingin anataka mpk mpigane km mkitibuana anakukwida
Hakuna cha usonji wala nini!mtafute Dk Isaac Maro atakueleza kinagaubaga .kama sikosei mwanaye mmoja ana usonji...na kuna foundation yao wacheki watakupa elimu ya kuishi na mtoto mwenye usonji/autism
Hakuna lolote. Mtu mjinga hapa ndio wewe.Hizi nchi zetu watoto wanaweza kuwa na condition za kitabibu lakini tunaishia kusema huyu mtoto mkorofi au amelogwa. Some individuals on the autism spectrum bang their head against the ground or wall, bite their hands, or excessively rub or scratch their skin. There are many ways to treat these behaviors including medical, sensory, nutritional, and behavioral approaches. Talk to your doctor as soon as possible if your child engages in any form of self-injurious behavior.
Ana miaka miwili na nusu...au nimesoma vibaya!?! Kwa malezi na umri sidhaniMtoto hana shida
Shida ni malezi mliyompa...ana kiburi
No offense
Na wewe nimekuingiza kwenye ignore.Hakuna lolote. Mtu mjinga hapa ndio wewe.
Unafikiri ukikopi haya MADESA UCHWARA kutoka google ndio unakuwa msomi? HAPANA, LA HASHA, unabaki kuwa mjinga tu wa kawaida.
Kila kitu ambacho hakieleweki kwa mtoto wanakwambia ni AUTISM 😁😁 Majibu mepesi sana.
Umpeleke kwa daktari akamnyweshe uji wa sembe 😁😁 Ati NUTRITIONAL THERAPY!
Unaamini kabisa kwamba ukinyweshwa uji wa sembe na Mtu mwenye KOTI JEUPE ndio unapona hiyo AUTISM? 🥴🥴😂🙌🙌
SHALLOW INDEED!
Pole, kampime DNA halafu uchunguze baba yake utakuta hizo tabia za kwao ni kawaida.Nina mtoto wa kiume umri miaka 2.5, huyu kijana wangu akiwa na hasira anatabia ya kujibonda chini au sehem yoyote kwa nguvu sana na pia anang'ata sana, kufinya, angali akiwa toka mdogo nikajua labd akikuwa ataacha.
Saiv imekuw 2much anaeza fanya kitu ukamtoa au ukamnyang'anya basi ni ugomvi mzito katoka nundu chin ya jicho jana tu saiv napata taarifa kavimba kichwa washavirugana na mama ake kiukwel hii hali inanipa wasiwasi sijui huyu mtoto anatatizo gn alaf anakuwa anahasira kali sana muda mwingin anataka mpk mpigane km mkitibuana anakukwida
Hajui huyo mwache aendelea kumfuga, akisogeasogea umri wa barehe tu ataanza kumlamba vibaoSorry to say,
wakati mwingine hizo ni ishara kuwa unalea mwana si wako.