safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Umecomment kiutu uzima sana na umecomment kama mtu ambaye ume experience ulezi kwa muda mrefu.Usimpe attention sana
Kongole kwako bibi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umecomment kiutu uzima sana na umecomment kama mtu ambaye ume experience ulezi kwa muda mrefu.Usimpe attention sana
Acha uswahili.na kwenye maskio hayana vitobo
Wewe unataka kuongeza shida haswa kwa huyo dogo,hiyo haitomsaidia.1.usimnyanganye kitu au kumkataza kitu Kwakumkaripia,
Hii stage bado bhana mkuu,huo utulivu ni upi ambao mtoto wa miaka miwili atauelewa,huwenda kuna maneno mengi hayajui na wala hajui yanamaanisha nini.ongea nae Kwa utulivu pale unapohitaji kumhasa asifanye kitu
Hii nakubaliana na wewe maana unakuwa haumpi attention maana watoto huwa wanatafuta attention mara nyingi.Akianza kulia au kupiga kelele nyamaza person, Tulia, usishtuke.
Hapa sasa umeharibu mkuu,maana unazidi kuongeza tatizo kwa mtoto huyu.2.ukiona anataka kujibamiza mchukue Kwa utulivu na mkumbatie ili akiwa anataka kubamiza kichwa uwe umemdhibiti ajikute anaishia kukutana na Bega au kifua huku mkono umemshika kichwa asijirusherushe Bali atulie.
NI sahihi kaka ila hii haihusiani na tabia ya dogo na wala haiwezi kutiba tatizo la dogo,hii itamjengea tabia nyingine positive na sio kuondoa the current problem.3.kamwe usimkimbie au kuondoka bila kumuaga, kama Kuna mzazi au mlezi anafanya hivyo Basi asitishe kufanya hivyo. Mkitoka mumuage, I hata kama Natalia na mwambie utarudi lini na sa ngapi. Ukirudi mtaarifu kuwa Umerudi.
Huku ni kulea ujinga kaka,toto shenzi linafanya ushenzi unalipembeleza tena daah ?nyamaza usiseme kitu labda uwe unambembeleza Kwa kutembea au kuyumba ukiwa umembeba na kumkumbatia kama tunavyofanya ukiwa unataka kumtoa mtoto gesi baada ya kula
Hiii haiwezi kusaidia kwa sababu hata hiyo adhabu hatoelewa vizuri kwa nini ameadhibiwa kwa sababu bado hajawa expert katika kuelewa vizuri lugha na kuwasiliana.4.asichapwe wala kupewa adjabu ya kumpa maumivu ya mwili pale mnapomuadhibu. Tafuta adhabu mbadala kama kutokuangalia kipindi anachopenda au kutokwenda kucheza Kwenye mtoko wa familia n. k.
NAkubaliana na wewe hii ni moja ya vitu ambavyo vinaweza kumsaidia mtoto kiachana na tabia mbovu kwani kuwa na tabia mpya kunaweza kukakukosesha muda wa kufanya tabia za zamani.acheze vya kutosha mchana,
Mkuu nakubaliana na wewe.Hakuna lolote. Mtu mjinga hapa ndio wewe.
Unafikiri ukikopi haya MADESA UCHWARA kutoka google ndio unakuwa msomi? HAPANA, LA HASHA, unabaki kuwa mjinga tu wa kawaida.
Kila kitu ambacho hakieleweki kwa mtoto wanakwambia ni AUTISM 😁😁 Majibu mepesi sana.
Umpeleke kwa daktari akamnyweshe uji wa sembe 😁😁 Ati NUTRITIONAL THERAPY!
Unaamini kabisa kwamba ukinyweshwa uji wa sembe na Mtu mwenye KOTI JEUPE ndio unapona hiyo AUTISM? 🥴🥴😂🙌🙌
SHALLOW INDEED!
Ushauri wao usiupuuze.mashoga kazi yao ni kuwaza kila kitu ni ushoga tu..inaonekana kichwan umejaza mavi tu ndio unachokijua
DNA inahusikaje hapa?Kapime DNA
Nakazia.Mtoto hana shida,
Shida ni malezi mliyompa...ana kiburi
No offense
Dawa ni fimbo tuu ataachaYani hako katoto ka umri huo mnataka mkapelelke kwa specialist?
Fimbo za makalio tuu zinamnyoosha..yani mnafikiri utani? Chapa fimbo...
Sio damu yakeDNA inahusikaje hapa?