Mtoto wangu ananishangaza

Probably ni first born ndio maana unashangaa, kawaida sana mtoto kutembea miezi nane, na inawezekana mlimzoweza mapema kutojidia kwenye diapers ndio maana akitaka kujisaidia anasema

Hongera sana
 
Umezaa genius.... hongera
 
Hongera mkuu, watoto hawafanani na ata ivyo watoto wengi wa siku hizi wako Smart sana. Yaani wanazaliwa wakiwa na akili zao kabisa tofauti na sie kipindi Tunakua akili tumezikuta ukubwani.

Pia ni wakati wako wa kujua kipaji Gani anacho mbali na u-smart anauonyesha, hiyo itasaidia kumkuxa katika Taaluma yake Binasfi.

GOODLUCKY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…