Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
sikutaka kucheka ila imebid Hahahahhah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo umezaa na kizazaa. Chips mayai kila siku?
Kaa chini tafakari huyo mtoto atakuja kuwa papai under your name. Kemea sana hapo
Haifai kucheka lakin inabid nicheke tuuDuhh! Fanya chapu umchukue mtoto huyo kabla hajawa papai, heri angekuwa wa kike, Sasa huyu ni wa kiume, ukizembea tuu toto linatengenezwa kuwa punga Hilo ohoooooo shauri zako.
Ukitaka kumficha mtz muwekee ofa katika maaandishi hatasoma ..uvivu wa kupindukia mwepesi kuuizabalichoelezwa awali..mtu anauliza jinsi ya mtoto..mara mpeleke kwa bibi ake akati muandishi kabold kabisa hana bibi anatokea zwazwa anadhihirishia umma kuuliza the same same question lililoelezewa ..watz siku tukiacha uvivu tutavuka tulipoMuwe mnasoma wakulungwa
Single mother huyu hapa,anaona ni heri mtoto awe papai.Ni mara milioni abaki kwa mama yake hata akiwa lelemama kuliko kuja kuishi na huyo bi mdogo akauawa au kulogwa na ikazua ugomvi wa kiwango cha nyuklia na miss independent. Nakuonya wa wanawake ni waovu sana linapokuja suala la mtoto wa kambo.
Kwan ww unataka awe nan maishani mpk akomae? Kama ni upinde hata Mabondia na wacheza mpr wamo kibao.
Sent using JamiiForums mobile app
Avumilie nini, ilhali anaeathirika ni mtoto?Huna budi kuvumilia hayo ndiyo maisha ya bin-adam kwa maana maisha hayakupi unacho taka bali maisha yanakupa kile unacho tafuta
Yaani mwanamke anajua kabisa kwamba wewe mwanaume una mtoto uliyempata kabla ya kumuoa yeye halafu anakupa vitisho kabisa kwamba hataki kukaa na huyo mwanao. Na bado mwanaume unamwona huyo mwanamke kwamba anafaa kuwa mke na unamuoa kabisaaa? Kweli binadamu tunatofautiana.Ni mara milioni abaki kwa mama yake hata akiwa lelemama kuliko kuja kuishi na huyo bi mdogo akauawa au kulogwa na ikazua ugomvi wa kiwango cha nyuklia na miss independent. Nakuonya wa wanawake ni waovu sana linapokuja suala la mtoto wa kambo.
Kwan ww unataka awe nan maishani mpk akomae? Kama ni upinde hata Mabondia na wacheza mpr wamo kibao.
Sent using JamiiForums mobile app
Usije kuta mshikaji ndiyo kaolewa na ndiyo maana mke ana sauti ya juu!!Yaani mwanamke anajua kabisa kwamba wewe mwanaume una mtoto uliyempata kabla ya kumuoa yeye halafu anakupa vitisho kabisa kwamba hataki kukaa na huyo mwanao. Na bado mwanaume unamwona huyi mwanamke kwamba anafaa kuwa mke na unamuoa kabisaaa? Kweli binadamu tunatofautiana.
Dah aisee jayo malezi ndio huzalisha wstoto mashoga katika jamii,namuomba sana Mungu huyo mtoto wako asifikie huko na hawezi kufikia.Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu
Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh
Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa wanawake wenye mindset ya miss independent kujitegemea wenyewe.
Huko ustawi wa jamii nilienda kabla mtoto hajafika miaka saba nikaambiwa nisubiri afike 7, akiwa na iaka miwili nikaja kuoa mwanamke mwengine ambae ni mke wangu wa sasa, aliniambia hawezi kuishi na mtoto wa nje, nami nilijiongeza nisifosi maana nishaona watoto wengi wanavyoteswa na mama wa kambo ikabidi yule mtoto nimuache huko huko.
Mwaka huo huo niliooa mama yake alipata kazi mkoa tofauti wa mbali, mimi nilikuwa nadhani mtoto analelewa vizuri lakini baada ya uchunguzi nafikiria kubadilisha maamuzi nichukue mtoto wangu , sababu ni hizi:
Mtoto kila siku anakula chipsi mayai mchana, akitoka shuleni mchana huwa kuna sehemu anaenda anapikiwa chipsi mayai, mama yake kaweka bili za kila wiki.
bado analala na mama yake
Mtoto anaonewa sana shuleni mama yake anamwambia eti usipigane, mtoto wangu shuleni ndie wale "wakujipigia", kabadilisha shule tatu hadi sasa, mama yake ananificha ficha lakini najua sababu ni uonezi.
Hapa nifenyeje, nifosi nimlete nyumbani kwa mke asietaka kulea mtoto wa nje au nimuache huko huko ?
watoto hawana bibi wala babu