Mtoto wangu anayeishi na mama yake tulieachana analelewa ndivyo sivyo, ustawi wa jamii imeshindikana kumchukua, mama yake hataki niwe nae, nifanyeje?

Mtoto wangu anayeishi na mama yake tulieachana analelewa ndivyo sivyo, ustawi wa jamii imeshindikana kumchukua, mama yake hataki niwe nae, nifanyeje?

Ni mara milioni abaki kwa mama yake hata akiwa lelemama kuliko kuja kuishi na huyo bi mdogo akauawa au kulogwa na ikazua ugomvi wa kiwango cha nyuklia na miss independent. Nakuonya wa wanawake ni waovu sana linapokuja suala la mtoto wa kambo.

Kwan ww unataka awe nan maishani mpk akomae? Kama ni upinde hata Mabondia na wacheza mpr wamo kibao.

Sent using JamiiForums mobile app
 
Kumchukua kwa mama yake itakua ngumu hasa ukizingatia maelezo yako anakuzidi uchumi. Anza kwa gia ya kutaka ukaribu na mwanao pia mfundishe jeuri asikubali kupigwa. Kuwa nae karibu,mtoto mwenyewe atataka kuishi nawe badala ya kuenda kuanzisha mgogoro mkubwa mahakamani
 
Tafuta shule nzuri ya Bweni , mhamishie mtoto huko, kisha wakati wa likizo unapanga na mama yake mzazi nusu likizo kwa mamayake ikikaribia kufungua shule anakuja kwako kwa maandalizi ya kurudi shule.

Hakuna sababu ya KUGOMBEA kuishi na mtoto jenga mazingira ya maelewano. Mwisho wa siku mtoto mwenyewe atagoma kwenda kwa mama yake sbabu ya medani zako za KIUME kimalezi.
 
Tenga muda na mtoto wako uongee nae yani muongee kama wanaume asionewe onewe ajiamini ye ni mwnaume ..ongea na mama ake vizuri ikiwezekana atafutiwe dada wa kazi akae nae mtoto ale lishe bora..afu why unaonekana huna maamuzi yani huyo mama mtoto wako ana mkeo wote ndo wanakuamulia nawewe unakubali unalalamika tu
 
Hapo kama mama mtoto kamkataa mtoto wako nivzuri hajaonesha unafki isije baadae akaja kumtesa mwanao zaidi na unavofikiria hapo tafuta dada wa kazi awe anamhudumia mtoto na kpnd cha likizo uwe unakaa na mtoto walau hata week 1-2
 
Pole sana mkuu naelewa naelewa unayopitia, mimi nilimchukua mwanangu akiwa na umri wa mwaka mmoja na nusu akiwa kachoka hadi roho mtoto ni kisa kirefu ila nilitumia mbinu za kimafia sana kumpata .
Nakumbuka nililia sana mtoto kanyonyoka hadi nywele kitumbo kama utapiamlo wakati nilikua natuma hela kwa wakati kumbe mshenzi yule akawa anahonga vidume vyake,
Mtoto ndani ya miezi miwili tu shavu hiloo mchangamfu sana ,jiongeze ndugu hawa mabinti wa kisasa bure kabisa
 
Muwe mnasoma wakulungwa
Ukitaka kumficha mtz muwekee ofa katika maaandishi hatasoma ..uvivu wa kupindukia mwepesi kuuizabalichoelezwa awali..mtu anauliza jinsi ya mtoto..mara mpeleke kwa bibi ake akati muandishi kabold kabisa hana bibi anatokea zwazwa anadhihirishia umma kuuliza the same same question lililoelezewa ..watz siku tukiacha uvivu tutavuka tulipo
 
Ni mara milioni abaki kwa mama yake hata akiwa lelemama kuliko kuja kuishi na huyo bi mdogo akauawa au kulogwa na ikazua ugomvi wa kiwango cha nyuklia na miss independent. Nakuonya wa wanawake ni waovu sana linapokuja suala la mtoto wa kambo.

Kwan ww unataka awe nan maishani mpk akomae? Kama ni upinde hata Mabondia na wacheza mpr wamo kibao.

Sent using JamiiForums mobile app
Single mother huyu hapa,anaona ni heri mtoto awe papai.
 
Chipsi mayai zilivyo tamu vile unataka dogo asile.
Ni hali ngumu tu ndo inafanya nakula dona usiku ili njaa isiume kwa muda mrefu.

Chipsi yai hazimfanyi dogo kua punga ni mindset za wapumbavu hudhani ivo.
Nina rafiki yangu alikua anaonewa sana primary, kupigwa yeye, kusemwa vibaya na kutaniwa mpaka wazazi wake yeye.

Lakini sasa hivi wanamwita brigedia kwa jinsi anavyojiamini, ana marafiki wengi, connection kama zote.
Kumbe kule kuonewa sana kulimfanya iwe rahisi kwa yeyote kuongea nae, mpaka form 4 dogo alikua na marafiki wengi sana.
 
Pole sana. Nina majirani walikuwa mke na mume wana watoto wawili mmoja wa kike (10) na mwengine wa kiume (7) baadae mume akaamua kusepa nadhani kwa ajili ya kiburi na jeuri ya mwanamke. Watoto wamebaki na mama yao wana chumba sebule na Mama anaingiza hawara...mtoto wa kiume huwa anajisikia unyonge sana! Namsikitikia yule wa kike, sijui kama ataweza kukaa kwenye ndoa ukubwani maana ndiye kipenzi cha huyo mama.
 
Ongea na mke wako kwa namna yoyote ile mshawishi akubali kumlea huyo mtoto usije kujitia badae, mtoto anae lelewa kwa mazingira ya kuonewa kama hivyo hua anakuja kua mkatili Sana baadae au akapoteza hali ya kujiamini kabisa hata ukubwani na jinsi huyo mama yake anavyo mlea mnyakue tuu usije kua aibu badae dunia imeharibika hii
 
Ni mara milioni abaki kwa mama yake hata akiwa lelemama kuliko kuja kuishi na huyo bi mdogo akauawa au kulogwa na ikazua ugomvi wa kiwango cha nyuklia na miss independent. Nakuonya wa wanawake ni waovu sana linapokuja suala la mtoto wa kambo.

Kwan ww unataka awe nan maishani mpk akomae? Kama ni upinde hata Mabondia na wacheza mpr wamo kibao.

Sent using JamiiForums mobile app
Yaani mwanamke anajua kabisa kwamba wewe mwanaume una mtoto uliyempata kabla ya kumuoa yeye halafu anakupa vitisho kabisa kwamba hataki kukaa na huyo mwanao. Na bado mwanaume unamwona huyo mwanamke kwamba anafaa kuwa mke na unamuoa kabisaaa? Kweli binadamu tunatofautiana.
 
Yaani mwanamke anajua kabisa kwamba wewe mwanaume una mtoto uliyempata kabla ya kumuoa yeye halafu anakupa vitisho kabisa kwamba hataki kukaa na huyo mwanao. Na bado mwanaume unamwona huyi mwanamke kwamba anafaa kuwa mke na unamuoa kabisaaa? Kweli binadamu tunatofautiana.
Usije kuta mshikaji ndiyo kaolewa na ndiyo maana mke ana sauti ya juu!!
 
Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu

Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh

Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa wanawake wenye mindset ya miss independent kujitegemea wenyewe.

Huko ustawi wa jamii nilienda kabla mtoto hajafika miaka saba nikaambiwa nisubiri afike 7, akiwa na iaka miwili nikaja kuoa mwanamke mwengine ambae ni mke wangu wa sasa, aliniambia hawezi kuishi na mtoto wa nje, nami nilijiongeza nisifosi maana nishaona watoto wengi wanavyoteswa na mama wa kambo ikabidi yule mtoto nimuache huko huko.

Mwaka huo huo niliooa mama yake alipata kazi mkoa tofauti wa mbali, mimi nilikuwa nadhani mtoto analelewa vizuri lakini baada ya uchunguzi nafikiria kubadilisha maamuzi nichukue mtoto wangu , sababu ni hizi:

Mtoto kila siku anakula chipsi mayai mchana, akitoka shuleni mchana huwa kuna sehemu anaenda anapikiwa chipsi mayai, mama yake kaweka bili za kila wiki.

bado analala na mama yake

Mtoto anaonewa sana shuleni mama yake anamwambia eti usipigane, mtoto wangu shuleni ndie wale "wakujipigia", kabadilisha shule tatu hadi sasa, mama yake ananificha ficha lakini najua sababu ni uonezi.

Hapa nifenyeje, nifosi nimlete nyumbani kwa mke asietaka kulea mtoto wa nje au nimuache huko huko ?

watoto hawana bibi wala babu
Dah aisee jayo malezi ndio huzalisha wstoto mashoga katika jamii,namuomba sana Mungu huyo mtoto wako asifikie huko na hawezi kufikia.

USHAURI WANGU.

kwa kuwa hamukai pamoja yaani mpo mbalimbali baina yako na mtoto basi jambo la kwanza jiulize je mwanangu ananikubali mimi kama baba yake ?

Kwamba ile nikikaa na mwanangu anafeel ule ubaba japo kwa muda huo mchache ambao mnakuwa pamoja.

Kama jibu ni ndio basi utasoma maelezo ya chini,kama jibu ni hapana basi hapo unatakiwa utafute mazingira ya kumuwin mwanao ili akukubali kama baba yake.

Lengo ni kutengeneza ule muunganiko baina ya baba na mwanao ili uwe rolmodo wake.

Lakini pili jee inashindikana hata kumpata wikiendi ukakaa na mwanao mkazungumza mambo kadhaa na kutengeneza muunganiko baina yenu ?

Tumia muda wa wikiendi kumuomba ili ukae nae umtie sumu
 
We ni dhaifu tuu yaani mkeo aliyemkuta mwanao umemzaa anakataa kulea unakubali, mtoto mwenyewe hulei full eti ada nusu sa unaenda kumlea vipi kwa mkeo au ndo akasukumwe jikoni kwenye maji ya moto akufe uzike kuliko kuhama hama shule
 
Jombaa kamchukue mwanao fasta we target ujuwe anaposoma without any prior notification beba mwanao mpeleke kwa bibi ake, mtot wa kiume kila siku chipsi na malezi ya ovyo unatengeneza upinde hapo , wanawake hawajui kulea watot wa kiume hata akiwa upinde haiwaumi
 
Back
Top Bottom