Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani azae yeye asumbue bibi na babu.. hebu achani wazee wamalizie maisha yao kwa raha.. wakulee wewe na wamlee mwanao.. hii tabia ya kipuuzi ikome sasa. Binafsi sitakubali huu ujinga, kila mtu abebe mzigo wake.Bibi na Babu zake vipi
Yaaani mkeo anakutaza kuleta mtoto wako uliezaa nje tena damu yako, na wewe unakubali? Kweli wanaume wanazidi kupungua, na ww una shida aiseeNi mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu
Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh
Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa wanawake wenye mindset ya miss independent kujitegemea wenyewe.
Huko ustawi wa jamii nilienda kabla mtoto hajafika miaka saba nikaambiwa nisubiri afike 7, akiwa na iaka miwili nikaja kuoa mwanamke mwengine ambae ni mke wangu wa sasa, aliniambia hawezi kuishi na mtoto wa nje, nami nilijiongeza nisifosi maana nishaona watoto wengi wanavyoteswa na mama wa kambo ikabidi yule mtoto nimuache huko huko.
Mwaka huo huo niliooa mama yake alipata kazi mkoa tofauti wa mbali, mimi nilikuwa nadhani mtoto analelewa vizuri lakini baada ya uchunguzi nafikiria kubadilisha maamuzi nichukue mtoto wangu , sababu ni hizi:
Mtoto kila siku anakula chipsi mayai mchana, akitoka shuleni mchana huwa kuna sehemu anaenda anapikiwa chipsi mayai, mama yake kaweka bili za kila wiki.
bado analala na mama yake
Mtoto anaonewa sana shuleni mama yake anamwambia eti usipigane, mtoto wangu shuleni ndie wale "wakujipigia", kabadilisha shule tatu hadi sasa, mama yake ananificha ficha lakini najua sababu ni uonezi.
Hapa nifenyeje, nifosi nimlete nyumbani kwa mke asietaka kulea mtoto wa nje au nimuache huko huko ?
watoto hawana bibi wala babu
KAKUONA WEWE NI MKOPO WA KOREA WA SAMIANi mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu

Wote waweke ubinafsi wao pembeni, na mtoto atapata malezi mazuri tu kote kote!!Binadamu wabinafsi hapo anajua mtoto hata amchukue atapata tabu , mda huo ana mwanamke wmingine ambaye atamtesa ...Huu ndio ujinga wa kuzaa ni kumkatili mtoto .
walioachana washapata wenza ila mtoto hawezi kupata malezi mazuri milele.
Mimi sikatai damu yangu hata kama naishi Kizimkazi,lazima niisogeze karibu yangu hata kama Kizimkazi atakwazika,maana ni swala la muda tu watazoweana na kua marafiki chini ya usimamizi wangu kama Baba Kizimkazi!!Yaaani mkeo anakutaza kuleta mtoto wako uliezaa nje tena damu yako, na wewe unakubali? Kweli wanaume wanazidi kupungua, na ww una shida aisee
Miaka 7 ni kama mama yupo vema hana tatizo eneo la malezi ila kama ni wa hovyo then unaweza mchukua hata kama ana miezi miwili.Hiyo Sheria ya miaka saba inatoka wapi? Binti yangu nilimchukua kwa mama yake akiwa na 4yrs. Nafikiri ustawi wanaangalia zaidi wapi mtoto atalelewa vizuri
Mbembeleze mkeo kwa maneno matamu,ikibidi washirikishe wazee wa dini yenu,Mungu mwema utafanikiwa!Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu
Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh
Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa wanawake wenye mindset ya miss independent kujitegemea wenyewe.
Huko ustawi wa jamii nilienda kabla mtoto hajafika miaka saba nikaambiwa nisubiri afike 7, akiwa na iaka miwili nikaja kuoa mwanamke mwengine ambae ni mke wangu wa sasa, aliniambia hawezi kuishi na mtoto wa nje, nami nilijiongeza nisifosi maana nishaona watoto wengi wanavyoteswa na mama wa kambo ikabidi yule mtoto nimuache huko huko.
Mwaka huo huo niliooa mama yake alipata kazi mkoa tofauti wa mbali, mimi nilikuwa nadhani mtoto analelewa vizuri lakini baada ya uchunguzi nafikiria kubadilisha maamuzi nichukue mtoto wangu , sababu ni hizi:
Mtoto kila siku anakula chipsi mayai mchana, akitoka shuleni mchana huwa kuna sehemu anaenda anapikiwa chipsi mayai, mama yake kaweka bili za kila wiki.
bado analala na mama yake
Mtoto anaonewa sana shuleni mama yake anamwambia eti usipigane, mtoto wangu shuleni ndie wale "wakujipigia", kabadilisha shule tatu hadi sasa, mama yake ananificha ficha lakini najua sababu ni uonezi.
Hapa nifenyeje, nifosi nimlete nyumbani kwa mke asietaka kulea mtoto wa nje au nimuache huko huko ?
watoto hawana bibi wala babu
Mmmmh kaka apo ulishavamia mtumbwi wa vibwengo tulia tuNi mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu

WallahYaani mwanamke anajua kabisa kwamba wewe mwanaume una mtoto uliyempata kabla ya kumuoa yeye halafu anakupa vitisho kabisa kwamba hataki kukaa na huyo mwanao. Na bado mwanaume unamwona huyo mwanamke kwamba anafaa kuwa mke na unamuoa kabisaaa? Kweli binadamu tunatofautiana.