round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Kama tungekuwa hatujafanana ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwaLabla huyo ambaye sio mjanja ndo wakwako ila huyo mjanja ni wa jamaa mwingine 😎
malezi ni suala zito sanaKila mtoto ana njia, tabia zake hazifanani na mwingine,
Kikubwa mfundishe kujitambua kama mtoto wa kiume, awe jasiri, mbabe kiasi itamsaidia hasa kwenye Dunia hii yenye ufirauni wengi watatumia udhaifu wake kumlaghai...
Mchanganye na wenzie wa kiume atabadilika japo hawawez kuwa sawa lakini atapata kitu
Mwenyewe nikuwa hivyo ila saa hz nipo motomalezi ni suala zito sana
huo ni udhaifu wako katika malezi,ni wajibu wako kuwashepu watoto wako wafuate njia unayoitakaKama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa
Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita
Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.
Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi
Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.
Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.
Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake
Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji
Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Acha kuwa harras watoto. Usi force wafanane na kila mtu ana mfumo wake wa maishaI wish mtoto wa pili angekuwa wa kwanza
Yan jamaa wa ajabu sana. Unapataje guts za kuwa classify wanao namna hiyo??Waziri peleka VETA hawa watu naona kama walivyosomea hakuna kinacho fanyika.
Unajua uzao unaweza kutoa watu tofauti wakawa urithi ambao ndani ya ukoo wenu au wa mke alikuwa huyo mtu.
Huwa inatokea, some wanachukua muda hizo tabia kuonekana wengine mapema.Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa
Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita
Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.
Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi
Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.
Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.
Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake
Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji
Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Line ya mwisho ya andiko lako ndio limebeba utofauti mkubwa kati ya hao wanao wawili, dogo wa pili ni debe tupu hivyo lzm liwe na purukushani za hapa na pale😂Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa