Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
NI KWELI KABISAWe sema kweli 😋
LABDA TUCHEZE
True or dare 😊😊
NI KWELI KABISAWe sema kweli 😋
Jitahidi kupunguza kunywa kidogo for enjoying usipambane na pombe hutoiweza.Naendelea vizuri ila nimepatwa na mtetemeko mkali nikikawia kupata maji kidogo .
Hivyo nimejipa huu mwezi na unaokuja kutafakari mustakabali wa mimi na pombe nikiwa naendelea kunywa ili nikiwaza kusitisha .
Kaka bado napambana hakuna kitu kigumu kama uraibu
Asante sanaJitahidi kupunguza kunywa kidogo for enjoying usipambane na pombe hutoiweza.
Epuka company mbaya upuka kunywa kwa kupambana na stress itakuharibia..
After time utakaa sawa.
Utachagua mwenyewe Sasa, unataka Kupanga au Kilaza ila mjanja mjanja 🤣🤣Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa
Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita
Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.
Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi
Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.
Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.
Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake
Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji
Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Mmezaliwa wawili?NI KWELI KABISA
LABDA TUCHEZE
True or dare 😊😊
Ni kawaida mbona sasa wekeza kwa huyo mdogo kwenye talanta yake halafu uwe karibu na mkubwa na usisahau kumpa.nafqsi yake ya kwanza. Utakuja kutengeneza ugomvi mkubwa ukiwa upande mmoja. Ila usisahau kila mtu ni genius kwenye eneo lake. So huyo nae kuna eneo atakushangaza. Waombee watoto na uwatolee sadaka.Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa
Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita
Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.
Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi
Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.
Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.
Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake
Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji
Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Madarasa umesoma Hadi langap mkuu? Nauliza Kwa uzur tu,,Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa
Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita
Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.
Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi
Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.
Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.
Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake
Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji
Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
2016Wa 5
Ulijiunga lini Jf?
Kitambo aisee2016
Ajabu sana, huenda Moja sio wake😌 ndo ushauli anaotakAcha kuwa harras watoto. Usi force wafanane na kila mtu ana mfumo wake wa maisha
Kudos. Umeeleza vyema.Watoto hawafanani kila mtu ana ukuaji wake hata kama ni wa mzazi mmoja.
Kwa jinsi ulivyowafuatanisha darasa la 7 na 6. Ni dhahiri mtoto wa 1 hakupata malezi mazuri akiwa mdogo nafasi yake ilichukuliwa na wa pili katika umri mdogo ambao alihitaji kujengewa misingi imara na wazazi. Yeye alianza kujitegemea na kumlea mdogo wake wakati mdogo.
Kila akijaribu ataambiwa amekosea, atatelekezwa, ataachishwa ziwa mapema n.k hivi vitu mtu anakua navyo.
Kosa ni lako na kama umeweza kumsema mitandaoni mtoto wako wq darasa la 7. Inakuaje ukiwa nyumbani naye? Umemvunja moyo mara ngapi? Umemgombeza mara ngapi? Umemuita mzembe mara ngapi? Unadhani haijaharibu ukuaji wake?
Wa kubadilika ni wewe na sio mtoto. Ujampa ujasiri mtoto unataka autoe wapi? Mmempora utoto wake akiwa mdogo halafu unakuja kumlaumu mitandaoni.....
Anyway ngoja niishie hapo.
You need to know hata vidole vyako havifanani naKama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa
Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita
Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.
Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi
Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.
Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.
Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake
Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji
Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Watu hawafanani. Hata ukirejea kwenye Bible kwenye ile story ya mapacha Yakobo na Esau. Esau baba yake alimchukulia kama kidume mwenye uwezo wa kuwinda ila Yakobo alichukuliwa kama "mtoto wa mama" kazi yake ilikuwa ni kutengeneza mchuzi wa dengu na kazi nyingine za nyumbani.Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa