Retired Analyst
Senior Member
- Apr 7, 2025
- 138
- 244
Kama haumtaki, mgawe kwa wengine wenye uhitaji na watoto.
Wewe sasa ndio umediagnose the reason behind this problem.Watoto hawafanani kila mtu ana ukuaji wake hata kama ni wa mzazi mmoja.
Kwa jinsi ulivyowafuatanisha darasa la 7 na 6. Ni dhahiri mtoto wa 1 hakupata malezi mazuri akiwa mdogo nafasi yake ilichukuliwa na wa pili katika umri mdogo ambao alihitaji kujengewa misingi imara na wazazi. Yeye alianza kujitegemea na kumlea mdogo wake wakati mdogo.
Kila akijaribu ataambiwa amekosea, atatelekezwa, ataachishwa ziwa mapema n.k hivi vitu mtu anakua navyo.
Kosa ni lako na kama umeweza kumsema mitandaoni mtoto wako wq darasa la 7. Inakuaje ukiwa nyumbani naye? Umemvunja moyo mara ngapi? Umemgombeza mara ngapi? Umemuita mzembe mara ngapi? Unadhani haijaharibu ukuaji wake?
Wa kubadilika ni wewe na sio mtoto. Ujampa ujasiri mtoto unataka autoe wapi? Mmempora utoto wake akiwa mdogo halafu unakuja kumlaumu mitandaoni.....
Anyway ngoja niishie hapo.
Wame share baba ila mama tofauti?, kama mama tofauti huenda Kila Mmoja akawa amerithi Kwa mama yake.Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita
Angalia huenda huu unaoita ujasiri usiwe ujasiri ukawa uhuni, jitahidi kumueka kwenye mstari.. akiendelea hivi Kuna siku utashangaa nae nahuyo unayemuona amezubaa atamfanya kuwa wa mfano.Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu
Omba mungu afanikiwe huko kwenye vipaji tofauti na hapo huu ni mzigo kwako na utashangaa naeHuyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji
Huyu wa kwanza naamin ndo atakuwa msaada kwako kama mungu akikuweka mpaka uzeeni, ma genius wengi hawapend usumbufu na utundu,Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15,
Kabisà.Mtoto wa kwanza ndio atafanikiwa.Wa pili sio wa ajabu ni wa kawaida tu.Watoto wengi wako hivyo.Ni mtundu anapigana ndio sifa unazotaka wewe.Wa kwanza Ni genius ndio maana hana kukurukara za utoto.Ameanza kuwa matured mapema. Hana utoto.
Umeekeza weee Ila sijaona tatizo la mtoto wa kwanza. Naona huyo anaongozwa na busara zaidi. Mdogo anajitutumua labda amzidi kaka yake.Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa
Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita
Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.
Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi
Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.
Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.
Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake
Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji
Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
KIafya na kwa ukuaji mzuri huwa wanashauri miaka mitatu.Wewe sasa ndio umediagnose the reason behind this problem.
Watoto wanabeba mambo mengi sana, na sisi wazazi tunawakosea sana watoto.
Mtoto wa pili ambaye hajapishana sana kumdi na mtoto wa kwanza basi mara nyingi kuna haki anaporwa.
Watoto huwa na wivu na kujihisi kutengwa ama kutopendwa pale ambapo mzazi anafocus na kichanga kimpya ambayo huyu wa kwanza akimshika kidogo utasikia wee muache, akifanya vile weee achaaa.
Wakati huo hakupata muda wa kutosha wa kupata mapenzi na mafunzo ya mama na baba.
By the way ni muda gani mzuri kwa mzazi kuweka utofauti wa miaka kwa watoto ili kuepuka hizi hali?
Msiangalishe watoto movie za kutisha na matamthilia.Wtt hawafanani tabia, hata hao identical twins wanaweza kuwa na tabia na hobby tofauti.
Mie binti yangu mdogo wa miaka 6 ndio jasiri, haogopi ovyo ovyo mkali kama kala pilipili hataki ujinga na mtu.
Mwisho leo asubuhi ananiambia jana usiku alishtuka akahisi kama kaona watu wanatembea nje lkn anashangaa alivofungua pazia hakuona mtu yyt 😅😅😅. Sasa hapo ana kakaake yeye mpk toilet apelekwe, huwa hata hatuelewi anaogopa nini...sijui movie za horror anazopenda kuangalia
Kwa kweli. Ahsante kwa ushauriMsiangalishe watoto movie za kutisha na matamthilia.
Kuna dogo alikua anacheza na wenzake kikomando. Hapa na pale sterling anataka kujiua. Dogo akajitundika kwenye mti ndio mazima dogo akafia pale pale.