Watoto hawafanani kila mtu ana ukuaji wake hata kama ni wa mzazi mmoja.Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa
Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita
Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.
Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi
Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.
Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.
Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake
Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji
Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Mimi na mdogo angu tumepishana tumboni miezi sita.Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa
Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita
Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.
Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi
Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.
Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.
Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake
Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji
Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Mimi udogoni mpaka leo mpaka hii mtu akiniangalia anajua kua Mimi ni mstaarabu na a well behaved person. Sijuagi mpaka Leo kutamka au kutukana Yale matusi mazito mazito.Line ya mwisho ya andiko lako ndio limebeba utofauti mkubwa kati ya hao wanao wawili, dogo wa pili ni debe tupu hivyo lzm liwe na purukushani za hapa na paleπ
Inshort watoto wengi wenye akili waga sio watundu watundu. Pia kama mzazi inabidi utambue Kila kiumbe ktk Dunia hii kimeumbwa kwa upekee wake hivyo ni muhimu kuheshimu na kutambua Kila hatua ya mtu.
Nisamehe mkuu nilitaka niandike uzi kukudis kwanini unanicheka kila komenti kumbe unaweza kasirika ukanitembezea makondeMimi udogoni mpaka leo mpaka hii mtu akiniangalia anajua kua Mimi ni mstaarabu na a well behaved person. Sijuagi mpaka Leo kutamka au kutukana Yale matusi mazito mazito.
Tabia za watoto wake Hawa wawili ni kama tabia ya Mimi na mdogo angu ambae tumepishana tumboni miezi sita..I mean ujauzito wake ulitunga Mimi nikiwa na miezi sita.
Mimi hata mtaani sikua najulikana Kama ni mtoto wa Ile familia maana nilikua ni mtu nisie zurula zurula sikua mtembezi pia sikua na show off..maana tuko form three mzee katununulia pikipiki za kuchezea zile WATCO dogo alikua maarufu maana alikua anakimbiza Sana pikipiki mtaani.
Naendesha gari Ila Mimi sina hobby ya kuendesha magari napenda zaidi niendeshwe, sipendi kelele,fujo, ugomvi, vurugu na tangu udogoni ilikua ukitaka kujua kua Mimi ni mkorofi nionee au nichokoze to the maximum utaona ukorofi wangu.
Nina sura ya upole hata ukiniangalia TU unauona uo upole nilisha samehewa na walimu nilipo waangalia TU '' wakasema huyu KIJANA ni innocent ""πππ mwenyewe Ila Sasa ukinikorofisha ni noma.
Hakika mkuuLabla huyo ambaye sio mjanja ndo wakwako ila huyo mjanja ni wa jamaa mwingine π
Yaaani unaongelea watu wawili tofauti introvert na extrovert sasa hawawezi fanana ila nakuhakikishia huyo wa kwanza ndio mwenye akili sana kuliko second born..Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa
Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita
Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.
Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi
Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.
Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.
Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake
Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji
Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Uchangamfu, maarifa na ujanja sio tu kuwahi kuzaliwa. Kila mtu ana upekee wa aina yake. Kikubwa watoto wako wote wawe na akili ya kawaida au zaidi.Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa
Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita
Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.
Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi
Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.
Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.
Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake
Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji
Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Kucheka ni kufurahi sio kucheka Kama kumcheka mtu ni kufurahishwa na comment ya mtu.Nisamehe mkuu nilitaka niandike uzi kukudis kwanini unanicheka kila komenti kumbe unaweza kasirika ukanitembezea makonde
Sawa nduguKucheka ni kufurahi sio kucheka Kama kumcheka mtu ni kufurahishwa na comment ya mtu.
Kua na amani mkuu.
Unaendeleajee mkuu, umeacha kupiga mtungi.. unaendeleajee lakini ndugu yangu.Sawa ndugu
Ujanja,ujasiri na/uwajibikaji havina uhusiano na umri wa mtu.Age ain't nothing but a mere number.Hayo maneno alituambia "Zuchu" miaka ya "sitaini " kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar tukiwa tunaangalia ngoma ya msusumio pale Bwejuu.Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa
Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita
Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.
Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi
Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.
Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.
Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake
Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji
Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
We sema kweli πMimi udogoni mpaka leo mpaka hii mtu akiniangalia anajua kua Mimi ni mstaarabu na a well behaved person. Sijuagi mpaka Leo kutamka au kutukana Yale matusi mazito mazito.
Tabia za watoto wake Hawa wawili ni kama tabia ya Mimi na mdogo angu ambae tumepishana tumboni miezi sita..I mean ujauzito wake ulitunga Mimi nikiwa na miezi sita.
Mimi hata mtaani sikua najulikana Kama ni mtoto wa Ile familia maana nilikua ni mtu nisie zurula zurula sikua mtembezi pia sikua na show off..maana tuko form three mzee katununulia pikipiki za kuchezea zile WATCO dogo alikua maarufu maana alikua anakimbiza Sana pikipiki mtaani.
Naendesha gari Ila Mimi sina hobby ya kuendesha magari napenda zaidi niendeshwe, sipendi kelele,fujo, ugomvi, vurugu na tangu udogoni ilikua ukitaka kujua kua Mimi ni mkorofi nionee au nichokoze to the maximum utaona ukorofi wangu.
Nina sura ya upole hata ukiniangalia TU unauona uo upole nilisha samehewa na walimu nilipo waangalia TU '' wakasema huyu KIJANA ni innocent ""πππ mwenyewe Ila Sasa ukinikorofisha ni noma.
Unaendeleajee mkuu, umeacha kupiga mtungi.. unaendeleajee lakini ndugu yangu.
Paragraph ya mwisho inaweza kukupa majibu vizuri tu, si lazma watoto wote wafanane, kila mmoja anakuja na talanta yake usilazimishe mtoto awe vile unavyotaka wewe.Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa