mtu ajaribu kuni mention mara mbili au tatu kwenye post moja

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,042
Reaction score
3,095
kuna utafiti naufanya, naomba kuwashirikisha watafiti wenzangu katika research hii muhimu hapa jukwaani.

hivyo kwa heshma na taadhima naomba mtu ataae ni mention kwenye post yeyote zaidi ya mara moja.

na pia nitawaletea mrejesho baada ya kukamilisha utafiti huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…