mtu ajaribu kuni mention mara mbili au tatu kwenye post moja

mtu ajaribu kuni mention mara mbili au tatu kwenye post moja

kuna utafiti naufanya, naomba kuwashirikisha watafiti wenzangu katika research hii muhimu hapa jukwaani.

hivyo kwa heshma na taadhima naomba mtu ataae ni mention kwenye post yeyote zaidi ya mara moja.

na pia nitawaletea mrejesho baada ya kukamilisha utafiti huu.
Rudisha kwanza uzi wako ulioandika kiarabu ukiwa unatuwekea vocha alafu dakika mbili ukafuta kabla ya hizo vocha kukopiwa ili nikumention kama unavyohitaji .
 
Back
Top Bottom