Mtu akiacha kazi bila sababu utumishi wa umma kisheria anastahiki alipwe mafao yake?

Mtu akiacha kazi bila sababu utumishi wa umma kisheria anastahiki alipwe mafao yake?

Dogo12

Member
Joined
Oct 5, 2022
Posts
65
Reaction score
155
Habari wanajamvi nilikua nauliza je mtu akiacha kazi utumishi wa umma bila sababu yoyote na kutoa taarifa anastahili kulipwa mafao yake
 
una maanisha mafao kama yapi? i.e likizo ya mwaka,pesa au posho ya nuali,kiinua mgongo? au ni mafao gani?
 
Back
Top Bottom