Malkia wangu
Senior Member
- May 1, 2024
- 143
- 265
Nataman sana waliokufa wapewe hata lisaa waje kutushudia , Ili nijue naamini wapi nikomaeHabari wakubwa,
Naomba kwa pamoja tulijibu hili swali.
Binadamu akifa anakwenda wapi?
Usisahau kuweka ushahidi
Anabadilika anakuwa Mnyama au mdudu.Habari wakubwa,
Naomba kwa pamoja tulijibu hili swali.
Binadamu akifa anakwenda wapi?
Usisahau kuweka ushahidi
Anakwenda wap wakat unamuona kafukiwa hapo kaburn na ukmfukuwa unamkuta ameshaoza yaan ndyo kaishia hapoHabari wakubwa,
Naomba kwa pamoja tulijibu hili swali.
Binadamu akifa anakwenda wapi?
Usisahau kuweka ushahidi
Alipokuwa kabla hajazaliwa.Habari wakubwa,
Naomba kwa pamoja tulijibu hili swali.
Binadamu akifa anakwenda wapi?
Usisahau kuweka ushahidi
Mimi nakumbuka nikipata nafasi ya kukaa na jamaa akiyekufa alafu akafufuka alafu baada ya wiki akafa alipata kuniambia haya .Habari wakubwa,
Naomba kwa pamoja tulijibu hili swali.
Binadamu akifa anakwenda wapi?
Usisahau kuweka ushahidi
HakikaKwa kuwa roho haifi, inaenda kuanzisha maisha mengine kwa umbo jingine.
Kufanya nini?Habari wakubwa,
Naomba kwa pamoja tulijibu hili swali.
Binadamu akifa anakwenda wapi?
Usisahau kuweka ushahidi
hahhhahha, Yesu aje kutoka wapi? unafufuka uende wapi na ili iweje?Tukifa mambo hesabu imeishaunaishi kaburin hadi kiama.
siku ya mwisho Yesu anakuja unafufuka unapaa kuelekea mbinguni ukifika hukumu inatoka kama ulikua mtenda dhambi unakula nyundo unatupwa kwenye tanuru la moto forever
Ukilewa na mamba au fusion je unaenda wapi??unaishi kaburin hadi kiama.
siku ya mwisho Yesu anakuja unafufuka unapaa kuelekea mbinguni ukifika hukumu inatoka kama ulikua mtenda dhambi unakula nyundo unatupwa kwenye tanuru la moto forever
Ambao hawajazaliwa wako wapi?Habari wakubwa,
Naomba kwa pamoja tulijibu hili swali.
Binadamu akifa anakwenda wapi?
Usisahau kuweka ushahidi
Kaburini, unaoza zako.Habari wakubwa,
Naomba kwa pamoja tulijibu hili swali.
Binadamu akifa anakwenda wapi?
Usisahau kuweka ushahidi
Amen. umenena vema mtumishi. Ila kwenye hicho kipengele cha watakatifu kuwa wako mbinguni kwa sasa kiangalie upya.Yesu ametufundisha somo zuri sana juu ya KIFO kwanini hamtaki kuelewa?
Alipomwambia yule muuaji msalabani, Leo hii utakuwa nami Mahali pema peponi, unaamini huko peponi hawatambuani?
Musa na Elia walipomtokea Yesu mlimani wakimtia moyo, ulidhani yalikuwa maigizo Yale?
Kwa taarifa Yako, Musa na Elia na Manabii wote wa AGANO la kale wa Mungu, wapo Mbinguni,
WATAKATIFU wote wafao katika Mungu baada ya kufufuka Yesu, wako Mbinguni. Hawakai tena Mahali pa kusubiri.
MTU ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.
Mtu Hafi, anabadili form, mwili ndio unaokufa na kuoza,
Lakini pia mwili kuoza ni suala la muda tu, Yesu baada ya kufufuka, alipaa na mwili wake baada ya kubadilishwa form.
Mtu aliumbwa kuishi milele,mtenda dhambi ukifa(ukibadili form) utateswa milele, mtakatifu ukibadili form( ukifa) unafurahia maisha milele.
Ubarikiwe.