Mtu akifa anatakiwa azikwe wapi? Migogoro ya kuzika maiti

Sidhani kama upo sahihi mkuu
 
Hapana mkuu

Ndio maana nikasema siku hizi utamaduni ule unaoitwa wa kiafrika haupo isipokuwa kwa makabila machache mno.

Moja ya sifa za mila na desturi au utamaduni ni ukabila. Ûkiona sehemu isiyo na ukabila jua mila na desturi eneo hilo ipo katika hatua ya mwisho kufutika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…