Mtu akifa Roho yake huenda wapi?

Mtu akifa Roho yake huenda wapi?

makolola

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
765
Reaction score
289
Najiuliza roho yake huenda kuhukumiwa na kwenda motoni au mbinguni au huenda kusubiri mpaka kiama ndio hukumu ifanyike?
 
Hivi roho ipo sehemu gani ya mwili?tuanzie hapo kwanza
 
Kwanza jiulize yeye ni nani na roho ni nini kabla ya kuuliza roho inaenda wapi. Je? Yeye anaenda wapi kama roho yake inaenda mbinguni or jehanam.
 
Mkuu nijuwavyo mm ni kuwa roho hurudi kule ilikokuwa kabla hajawekewa binadam
 
Mkuu nijuwavyo mm ni kuwa roho hurudi kule ilikokuwa kabla hajawekewa binadam

Lakini itategemea aliishi vip
Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk
 
Lakini itategemea aliishi vip
Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk

Jambo hili ni kiimani zaidi inategemea imani ya dini ya mtu inasemaje
 
Lakini itategemea aliishi vip
Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk

mkuu kuna andiko lolote limesema hivo???
 
Lakini itategemea aliishi vip
Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk

Mkuu kuzaliwa kama Mbwa, Paka au Panya ni adhabu au? Coz naona kuna mbwa wanaishi maisha mazuri wakiyofautiana na wengine, sasa hawa wanaoishi maisha mazuri wao pia ni adhabu kama walivyo waishio ya shida au vipi
 
Back
Top Bottom