Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna anaejua!Najiuliza roho yake huenda kuhukumiwa na kwenda motoni au mbinguni au huenda kusubiri mpaka kiama ndio hukumu ifanyike?
Mkuu nijuwavyo mm ni kuwa roho hurudi kule ilikokuwa kabla hajawekewa binadam
Lakini itategemea aliishi vip
Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk
mtu akichukuliwa msukule je?

Najiuliza roho yake huenda kuhukumiwa na kwenda motoni au mbinguni au huenda kusubiri mpaka kiama ndio hukumu ifanyike?

Kwani umeme ukikatika unaenda wapi?