Mtu akifika tu bei nauzaga kitu changu bila kupanga

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Kwa mfano kwa huu mwaka tu hii simu Ni ya 20+ nikiwa na kitu changu mtu akiniuliza tu anipe bei gani huwa namuuliza yeye anatoa bei gani.

Kwa mfano Kuna siku niliuza simu nikaweka line mfukoni.

Je? Na nyinyi huwa mnafanyanje mtu akikuuliza hicho kitu chako akutoe ngapi?
 
Iiiiih uongo bhana!

Ningelikufahamu, ningekutest uongo huo kwa kukuvua suruali uliyovaa.
Ningekubali kufika bei yoyote unayoitaka ili nione.
 
Eeh hapo umenena sana buda, hiyo line mfukoni ni kawaida sana, watu wanapenda kujua bei halafu wanakwenda kufikiria, usikubali kushusha bei haraka!
 
Back
Top Bottom