Mtu akiingia Ikulu kwa "ndodndokela" anakuwa hana ajenda (anapuyanga). Tuliyaona kwa Magufuli na sasa tunayaona kwa Samia

Magufuli ndiye mwanzilishi wa utamaduni mchafu wa kiongozi wa nchi kupendelea kwao na wakwao. Na huu ujinga hautakaa ukome mpk tutakapochapana na kuvunjana mikono na miguu.
Mzee unataka kuzichapa?
 
Kumbe issue ni Tuezi!! Fanya kazi usubiri teuzi ..atateua yule ambaye anaona atamsaidia .. kwenye majukumu yake kama wote wazanzibari basi iwe hivyo tunachohitaji maendeleo ..
 
Utumbo wako ni mrefu sijui umeutoa kwa kwa mnyama gani maana umeshaanz kunuka
 
Kwa Mwamba Jiwe Magufuli huyo hakuwa Rais Bora Tanzania, bali Bora Afrika mzima. Sasa hivi Kuna kitu kinaitwa Magulification of Africa. Unajua?
 
Ni afadhali hata MAGUFULI sasa huyu anadharau katiba waziwazi bila haya wa Aibu,SAMIA HAIJUI KATIBA aliyoapa na anataka kuwalazimisha watanzania kwamba hawajui katiba kama yy,Aibu kabisa.
 
Kinacho nishangaza kwa Mams na yeye ana lalamika. Sijui Raia tusaidike wapi
 
Wewe unaona ni sawa uwe na Halmashauri Temeke, Ilala, Kinondoni halafu uwe tena na halmashauri tena juu yao?
 
Wewe ni fala rais yoyote akiingia madarakani anatekeleza ilani ya CCM ambayo inaandaliwa na chama.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Crap
 
Wewe ni fala rais yoyote akiingia madarakani anatekeleza ilani ya CCM ambayo inaandaliwa na chama.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Ebu nambie sera za CCM zinasemaje kuhusu chanzo cha upatikanaji wa umeme nchini.
Haohao walitwambia umeme kutokana na maji hautufai na miwa ghali.
Wakaja na mpango mbadala wakutumia nishati ya umeme utokanao na gesi, maandalizi ya kafanywa kutoka Mtwara,mabomba ya kusafirisha gesi ya bei nafuu nchini yakaanza kutandikwa,leo hii hakuna aneyeogelea gesi tena.
Baadae likaibuka la Bwawa la mwalimu Nyerere mradi wa maji uliokataliwa nakupendelea mradi wa gesi.
Hapa hamna sera zozote CCM zinazofuatwa na watawala hapa kila mtu anatanguliza masilahi binafsi.
Usishangae akaja mtawala mwingine akaupa kipaumbele mradi wa nishati ya kutumia upepo na kulitelekeza bwawa la mwalimu Nyerere!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…