Mtu akikutishia kukuua wewe na familia yako unatakiwa kufanyaje?

Mtu akikutishia kukuua wewe na familia yako unatakiwa kufanyaje?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Habari wakuu.
Kuna mtu tumezinguana tu sisi wenyewe kitaa..sasa naona yeye ameenda extra mile kanitumia ujumbe whatsapp ananitishia kuwa ataniua mimi na familia yangu wote.
Je nichukue hatua gani wakuu?
 
Watu wa hivyo mara nyingi hua ni mihemko tu.


Make sure unaenda kuripoti polisi huku ukitumia huo ujumbe kama ushahidi.


Wakimdaka kwa mahojiano utaona the way atakua anajijambia pasi na vitu vya msingi vya kuzungumza.
 
Hama usiku usiku na familia yako mrudi kijijini kabla hapaja kucha.
 
Kufa kabla y kukuua sw.




KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom