Mtu akiniuliza kama nimeajiriwa naumia sana rohoni. Kuna mwingine ameshawahi experience hiki?

Mtu akiniuliza kama nimeajiriwa naumia sana rohoni. Kuna mwingine ameshawahi experience hiki?

Sababu baada ya kumaliza chuo nimekosa ajira baada ya ku-apply sana Kazi sijaambulia kupata, sanasana naishiaga kwenye interview. Nimekaa mtaani mda mrefu, hivyo najishughulisha na temporary informal jobs ndogo ndogo. Mtaani baadhi ya watu wanajua mimi ni mwanachuo, sasa sometimes utakuta mtu hamfahamiani, au jirani, mtu mzima mzee, anakuuliza ajira vipi, unafanya kazi wapi, au kazi fulani zimetoka mbona huja-apply, huwa napata uchungu moyoni.

Kuna ndugu mmoja Hadi sahiv namkwepa sababu kila nikiongea naye kwenye simu anapenda kuniuliza kuhusu kazi.

Je, nakosea nikiwakasirikia hao watu waloniuliza swali kama hilo?
usikate tamaa mkuu...sometimes life ni hadithi yenye mambo mengi ikiwemo shida na raha, nb: kuhusu huyo ndugu yako siku moja mwambie ukweli tu hupendi akuulize maswala ya kazi kama hawezi kukutafutia kazi....believe this utapata kazi nzuri na utasahau shida zote.....
 
Mkuu pole Sana!Natamani kutoa michongo,ila Vijana wa Jf wa Me na Ke sio waaminifu huo ndio ukweli.Mkipewa connection maaribu Sana.Sio kwangu hata baadhi ya member maarufu tunaofahamiana nje ya Jf wengine Biashara zao chupu chupu kufa.

Vijana mnapaswa kubadirika.Kuna Mwingine nilipompeleka alipoona Ela anayo badala ya kusepa kistaarabu kaharibu.Niweke wazi ndio maana Pm sizijibu tunasaidiana lakini tatizo uaminifu.Pole ningekupa michongo lakino naogopa yasije yakatokea ya wenzio.
Bora ungekausha
 
Hujaajiriwa??
Mbona ajira zilitoka utakuwa hukuomba wewe. Mtu ankuuliza hivo halafu huyo ni graduate mwenzio kaajiriwa hana hata mwaka lakini anakuona wewe mzembe ndio Mana hujapata kazi wakati mmesota wote miaka saba ila kosa yeye kutangulia kupata.
Kuna hii Umeolewa??Una mtoto??Mbona umechelewa hivo zaa hata mtoto basi.
Aisee watu wanapenda sana kupangia wengine maisha.
 
Back
Top Bottom