Mtu akiniuliza kama nimeajiriwa naumia sana rohoni. Kuna mwingine ameshawahi experience hiki?

usikate tamaa mkuu...sometimes life ni hadithi yenye mambo mengi ikiwemo shida na raha, nb: kuhusu huyo ndugu yako siku moja mwambie ukweli tu hupendi akuulize maswala ya kazi kama hawezi kukutafutia kazi....believe this utapata kazi nzuri na utasahau shida zote.....
 
Bora ungekausha
 
Hujaajiriwa??
Mbona ajira zilitoka utakuwa hukuomba wewe. Mtu ankuuliza hivo halafu huyo ni graduate mwenzio kaajiriwa hana hata mwaka lakini anakuona wewe mzembe ndio Mana hujapata kazi wakati mmesota wote miaka saba ila kosa yeye kutangulia kupata.
Kuna hii Umeolewa??Una mtoto??Mbona umechelewa hivo zaa hata mtoto basi.
Aisee watu wanapenda sana kupangia wengine maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…