Mtu akisema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?

Mtu akisema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?

Mama Ametufikia

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
535
Reaction score
1,395
Najaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd .

Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?.

Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu Ila kuhusu miaka 40-72 sifikirii.

Ila kutaja miaka ya wanawake wa JF randomly haijakaa sawa tujitafakari wakuu , maana kugusa umri wa Mwanamke na kumuita mzee ni sawa kumpiga nyundo za ugoko.
 
Em chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamani🤨🙄
 
Kutoka na logic zenu
Mmekaa kizee akili za gen z wa tz tunazijua kwanza hawawezi kuwa kwenye social media ambayo Haina mambo ya picha picha na mwendo wa anonymous
Nyie ni wazee flani wenye busara mdogo ni marry Diana yani ndie gen z wa singoli motha wa jf
 
Mabinti natural wanapenda attention, so utawakuta Insta na TikTok.
JF na FB ni za 30+ Ila Kuna exceptions kama ushamba, simu mbovu, bando, black sheeps wa miaka ya 2000 utawakuta pia hata vibibi vipo insta na TikTok
 
Najaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd .

Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?.

Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu Ila kuhusu miaka 40-72 sifikirii
Sasa mtu anasimulia habari za shule wakati anasoma primary mwaka 1982 halafu unajiuliza tunajuaje kwamba wamezeeka kweli?
 
Back
Top Bottom