AHAS
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 803
- 1,385
Wewe pia inaonekana ni mzee mkuuNdo maana wanaume wengi mnakufa vijana
Maana kwenu uzee ni jambo baya la kucheka mtu
Sasa Mungu kaamua kuwanyima huo uzee sasa
Mtu akiwa kikongwe anakuuma nini? Amekuomba umtawaze?
Acheni mambo ya kitoto .