Mama Ametufikia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 535
- 1,395
Umeiweka sawa sana👏Em chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamani🤨🙄
Sio ivyo tu kuna wakati komenti ina uzito mpaka unahisi hiki kidumeKomenti zinauzito wa kukwepa mishale mingi
Nyie ni Magumegume, kuna huyi Evelyn Salt hakosi nakoz mgotini.Em chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamani🤨🙄
Michango yao na Muda waliojiunga katika huu hili jukwaa, Wakati ni ukuta na
Bibi hata apake wanja vipi hawezi kuwa kigoli.
Sasa mtu anasimulia habari za shule wakati anasoma primary mwaka 1982 halafu unajiuliza tunajuaje kwamba wamezeeka kweli?Najaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd .
Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?.
Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu Ila kuhusu miaka 40-72 sifikirii
Lengo laki ni nini haswaNyie ni Magumegume, kuna huyi Evelyn Salt hakosi nakoz mgotini.
Najua inauma ila please don't take it too personal..ni mawazo tu.Ndo maana wanaume wengi mnakufa vijana
Maana kwenu uzee ni jambo baya la kucheka mtu
Sasa Mungu kaamua kuwanyima huo uzee sasa
Mtu akiwa kikongwe anakuuma nini? Amekuomba umtawaze?
Acheni mambo ya kitoto .