Wewe pia inaonekana ni mzee mkuuNdo maana wanaume wengi mnakufa vijana
Maana kwenu uzee ni jambo baya la kucheka mtu
Sasa Mungu kaamua kuwanyima huo uzee sasa
Mtu akiwa kikongwe anakuuma nini? Amekuomba umtawaze?
Acheni mambo ya kitoto .
Huenda mtu kaishakutana na zaidi ya 10 + na wote wapo wazee au sawa na mama yake..Najaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd .
Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?.
Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu Ila kuhusu miaka 40-72 sifikirii
Wengi humu ni age gooNajaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd .
Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?.
Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu Ila kuhusu miaka 40-72 sifikirii
The old goldI like them old.....
Umejuaje mkuu Kama ameshazeeka ?Nyie ni Magumegume, kuna huyi Evelyn Salt hakosi nakoz mgotini.
Uzee ni baraka je mkuu ni kweli wengi mmeshagonga 40-72?Ndo maana wanaume wengi mnakufa vijana
Maana kwenu uzee ni jambo baya la kucheka mtu
Sasa Mungu kaamua kuwanyima huo uzee sasa
Mtu akiwa kikongwe anakuuma nini? Amekuomba umtawaze?
Acheni mambo ya kitoto .
Mzee mwenzangu. Habar ππππEm chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamaniπ€¨π
100βπΏSijajua huko kwenu Uzee unaangalia nini?
Mtaani kuna mabinti ni wa Mwaka 2003 lakini kilomita zilivyosoma utasema wamezaliwa Mwaka 1975 π
Wine kadri inavyokaa kwenye friji ndivyo inavyozidi kuwa tamu π€
Mzee wa jf naona unatutetea wazee wenzakoSijajua huko kwenu Uzee unaangalia nini?
Mtaani kuna mabinti ni wa Mwaka 2003 lakini kilomita zilivyosoma utasema wamezaliwa Mwaka 1975 π
Wine kadri inavyokaa kwenye friji ndivyo inavyozidi kuwa tamu π€
Hakika anabidi kuomba kuja atuombe msamahaKwani wakizeeka kuna kosa gani, au uzee ni ugonjwa?
Nadhani humu kuna umri tofauti, walio 20s, 30s, 40s, 50s na hata 60s. Kumuita mtu mzee ni kutaka kumuumiza kihisia kwa sababu unadhani atahisi vibaya ila uzee upo kwa kila mtu.
Ni kuunganisha dots tu mkuu, sasa mfano mtu anajiita Mama Ametufikia utegemee kuna kijana hapo? CCM wote wanaume kwa wanawake ni wazee
Sisi ni Wazee wa kuendesha T111AAA π100βπΏ
Nje ya fake ID hizi huwa tunakutana physically ndugu. Na wengine ni marafiki wazuri tu. Nishakutana na wana JF kibao sana ambao tumefahamiana humu humuNajaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd .
Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?.
Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu Ila kuhusu miaka 40-72 sifikirii.
Ila kutaja miaka ya wanawake wa JF randomly haijakaa sawa tujitafakari wakuu , maana kugusa umri wa Mwanamke na kumuita mzee ni sawa kumpiga nyundo za ugoko.
Haszu jana umechanganya id umegundua lakini?.au umepotezea πNyie ni Magumegume, kuna huyi Evelyn Salt hakosi nakoz mgotini.